Hii inamhusu yule aliewahi kupost kuwa anatafuta na hatimaye akapata Mke/Mume/Mchumba kupitia jukwaa hili.
Share angalau kwa ufupi changamoto ulizokumbana nazo ktk huo mchakato hadi ukafanikiwa...
Mimi ni mvulana wa miaka 30
Elimu yangu degree
Kazi mjasiliamari
Nakoishi mbeya
Nataka mwanamke wa kumuoa
Awe anasari
Awe na umri kuanzia miaka 24 na kuendelea, awe mfanyakaz au ata asipokuwa...
Nina hitaji mchumba ambaye atakua serious na relationship ili awe mke wangu. Elimu yangu ni bachelor degree shughuli zangu nazifanyia Morogoro na Dar.
Sifa za mke awe na elimu japo form four na...
Habari wana mmu! mimi nikijana wa miaka 29 ifikapo 29 october mwaka huu. Nina elimu ya chuo kikuu nimehitimu mwaka 2017. na sasa nipo katika mchakato wa kuongeza elimu yangu katika fani tofauti...
Mimi ni kijana wa miaka 26 ni muhitimu wa chuo, nimejiajiri natafuta msichana aliyeserious katika mahusiano,
Vigezo. mcha mungu, bila kujali ni msichana au single mother ili mradi awe mcha...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 ninaishi dar na shughuli zangu nafanyia dar; ninajitegemea nikimaanisha nimejiajiri na pia nimeajiriwa; elimu niña digrii moja; mengine tutaambiana na ambaye...
Kicha jinajekeza
Mimi ni kijana wa kiume naitaji mchunba wa kike
1.awe nwakimy
2.nyanda za juu kusini
3 .umri miaka 23-26
4.awe hajawai kuzaa au kuilewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naitwa Saida Issa ni mkazi wa dar es salaam nina umri wa miaka32 nahitaji mume wa kunioa awe muislam kwa yeyote atakayekua tayari awasiliane na mimi kwa nambari 0653708874
Tafadhari usika na kichwa cha Habari hapo juu kama kinavyo jieleza.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27. Naishi Dar-Es-Salaam Temeke. Dini yangu ni muislamu. Natafuta mpenzi wa kike.
Hawe na...
Naitwa Walter Frank . Nina miaka 33, Kabila ni Mkara na Mpogoro. Dini yangu ni Mkristo wa Dhehebu la Katoliki. Elimu yangu ni Shahada ya Mawasiliano na sasa naendelea na Shahada yangu ya Uzamili...
Amani ya Mola iwe juu yenu wote.
Naomba kurudia tangazo langu tena la uhitaji wa dhati wa mwanamke wa kumuoa..Pasi na masikhara wala maigizo naomba kuwasilisha tena ombi langu la kumptafuta...
Kuna hali hua inanitokea na hii ni tangu nakua nimegundua hili,
Inapotokea ninapo onana na jinsia ya kike kwa mara ya kwanza alafu akanivutia sana, sasa kadri ninavyozidi kumuona na hata pengine...
Habari wanajopo. Mm ni kijana wa umri wa miaka 30,nilioa msichana wa miaka 25 na nimezaa nae mtoto 1.
Tatizo kubwa la msichana huyu nadhani ni kutokana na umri wake yaani sio mtu wa malengo...
Habarini wakuu...
Tatizo la kukosa mtoto na kutoshika kwa mimba limekua sugu miongoni mwa kina Dada wengi ( haswa wale waliowahi kutoa mimba ....ingawa si wote)
Kama kuna mtu mwenye tatizo hili...
Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae Mungu akipenda awe baba wa watoto. Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na...
Well mimi ni mwanaume Umri 28
Mfanyakazi Kampuni binafsi
Makazi Dar-Mbezi kimara
Elimu Bachelor degree (Bsc)
Mrefu wastani
Maji ya kunde
Natafuta msichana mwenye Sifa zifuatazo:
Mcheshi
Mcha...
Habari zenu wanaume?
Mimi nina miaka 23, nipo DSM. Nafanya kazi katika kampuni moja ipo hapa hapa DSM. Kwa sasa nahitaji mwanaume wa kuishi nae sio wa kuspend nae.Mimi na mkristo, nita penda kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.