Tabia za wanaume na wanawake

babrabae

Member
Jul 24, 2018
55
55
Kuna makundi mawili Ya wanawake na makundi mawili Ya wanaume

Makundi Ya wanaume
1.aina Ya kwanza Ya mwanaume ni yule mwenye homoni tupu za kiume
Hawa tabia zao huwa na mfume dume,na mara nyingi awezi jifananisha na mwanamke kitabia au kivyivyote vile huwa na misimamo Ya ajabu mchapa kazi na kutimiza majukumu kama mwanaume huwa sio mtu wa maneno mengi ni vitendo tu na wengi wao wanamafanikio sana tu baadhi wasio na mafanikio wanaendekeza mfumo dume kupitiliza wanashindwa kujizuia.

2.kundi la pili wanaume hawa wanakua wamix yani homoni za kike na kiume ndo hawa bendera fata upepo hawana misimamo mda mwingine wana fanana tabia na wanawake yani kifupi hawana radha ya kuitwa wanaume ndugu wanawake kundi hili wanaboa sana

Kwa wanawake

1.wanakua na homoni za kike tu yaani ukimuoa mwanamke wa hivi ni burudani kwa manjonjo chumbani jikoni na kwengineko Ila ni wafata mikumbo yani ukifuria imekula kwako abadani huto muona mwenda na wakatii na mara nyingi wazo Lake bira mwanaume ni 0.0,Huyu usimtegemee kwenye maendeleo mtegemee kugegeda na kupetiwa mda wote

2.kundi hili wana homoni za kike na kiume wana misimamo hawapelekwi ovyo yani ukikutana na kichwa hiki stimu lazima zikate kwa mwanaume,wanaweza kujiongoza kwa kila jambo ni wachapa kazi na wasio penda mikumbo mara nyingi wanawaza maendeleo usitegemee kupetiwa kwa sana hawa uwa wanakosa ndoa kwa haraka kulingana na misimamo yako

Nilipo kosea edit

Pole kwa nilie kugusa ila ni katika pitapita tu
 
Sawa mkuu sisi watu wa mikoani tupo kundi no. 1 la wanaume sijui huko daslamu wapo kundi gani??
 
Sawasawa Babrabae !!
 
Kibaiolojia, watu wote wana mix hormones. I stand to be collected
 
Back
Top Bottom