Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
NAENDA KUOA PEMBA. Naenda kuoa Pemba, msichana wa Kojani Yule anaejipamba, kwa mitandio kitwani Aongea kwa kutamba, na lafudhi ya kipwani Naenda kuoa Pemba, alo na njema tabia. Kojani nikimkosa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
habarini wana JF natafuta mpenzi amabaye atakuja kuwa mke mbeleni, awe tayari kupima ukimwi, awe black au weupe asilia na si wakununua dukani, awe chini ya miaka 30, awe na elimu mwisho ya form...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi umri wangu27,Group langu la damu ni A-ve, nahitaji rafiki wa kweli mwenye Rhesus negative mwenzangu tuweze kushare mawazo pindi nipatapo shida ana uwezo wa kunisaidia am serious kwa hili kama...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
KWANINI WANAWAKE WENGI WANAOTAFUTA WACHUMBA JAMII FORUM HAWAWEKI PICHA ZAO?
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Naitwa Luqman kutoka Kenya nko na 28yrs na natafuta mchumba umri wake uwe chini ya 28yrs, awe atleast amefika secondary kidato cha sita Tanzania. Rangi na kimo chochote sichagui wala dini pia. Mi...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Natumai wote tu wazima. Naitaji rafiki naomba nieleweke wazi rafiki jinsia ya kike umri kuanzia miaka 40 and above ambaye yupo stressed kwa ajili ya kubadilisha mawazo, ushauri, miongozo n.k...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Natumai wote wazima na poleni pia kwa majukumu yenu. Nimejitokeza rasmi kutangaza Kwenu kuwa natafuta Rafiki wa Kike ambaye tukiridhiana basi atakuja kuwa Mchumba na Mke wangu rasmi. Wasifu...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Awe anatokea Arusha. Umri kuanzia 27 to 30, awe handsome na of corse awe stable kipesa pia awe anajua mapenzi mambo ya kuchafuana ctaki mie.
2 Reactions
75 Replies
9K Views
Mimi ni mwanaume, mwenye umri 33,mkristu,nina elimu Ya kawaida, nina Kazi tyr, muonekano Wangu ni wakawaida. Natafuta mwanamke wakuoa mwenye umri 20-28 ,anaye jitambua, na mwenye nia ya Kweli...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimempatia mtaani kwetu sio Jf...ana miaka 23yrs....maelezo mengi nimepunguza maana watu wasiojielewa wameanza kunitukana na kunipa majungu kisa tu nimebahatika kuwa na demu bikra....muandamne bac...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Habarini ndugu, mimi ni mwanamke ambaye hivi karibuni mwanaume wangu anataka akajitambulishe kwetu pamoja na kunivisha pete. Sasa tatizo ni kwamba ananiambia anipe hela nikanunue mwenyewe na mimi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana jf natafuta marafiki wakubadilishana mwazo jinsia zote. Mimi ni mwanaume naishi dar umri wangu ni miaka 32 Kwa anayetaka aje pm
0 Reactions
57 Replies
4K Views
Habari, natafuta mke wakuoa nitakaye ishi naye kwa furaha kwani ndiye atakua chaguo langu. Awe tayari kupima HIV, asiwe mlevi, mcha Mungu, awe na mapenzi ya dhati, asiwe na mtoto, umri...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hi, natafuta rafiki wa kike umri kuanzia 24-37,sina ubaguzi wa elimu, dini, kabila,msomi hata ambaye simsomi yeyote anakaribishwa. Awe ni mtu anaye jituma katika kupambana na umasikini Aliye tyr...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Sizunguki zunguki Nataka mke wa kuoa ili nyumbani kwetu tu talk openly, we have to dare to talk (jf slogan) Sifa Sifa zangu A. Kipato cha kati 1000 USD to 2000 USD per month B. Umri wangu 30...
2 Reactions
70 Replies
6K Views
Huo mpango nimeachana nao kiukweli mchumba sahihi umtakae hawezi kutoka Jf Bac jamani kila laheri
1 Reactions
72 Replies
11K Views
Za jioni wapendwa, Baada ya kuweka uzi wangu huu >> Aliyetayari kutulia kuitwa mume wa mtu aje hapa hatimaye nimepata niliyekuwa namtaka. Asanteni kwa wote walioshiriki ila nimeshapata na ndio...
4 Reactions
86 Replies
8K Views
Natafuta mume alie tayari kuishi nami. Awe mkristo. Mwenye mapenzi ya kweli.
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Jina langu ni Amour.....mimi ni boy aged 18 years, Natafuta friends wa kuchat nao all around teen age so if you find this interesting call me or whatsapp me by 0682557939 And by the way nipo dar...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom