Twinawe JF-Expert Member Oct 3, 2016 2,411 5,288 May 13, 2017 #1 Natafuta rafiki yoyote wa kike aliyeko mwanza umri kuanzia 18_28 Asiwe na mchumba wala boyfriend. Dini yoyote mm n christian
Natafuta rafiki yoyote wa kike aliyeko mwanza umri kuanzia 18_28 Asiwe na mchumba wala boyfriend. Dini yoyote mm n christian
platozoom JF-Expert Member Jan 24, 2012 9,404 11,284 May 13, 2017 #2 Hilo jina limeshakukosesha rafiki
Tajirimsomi JF-Expert Member Jan 12, 2017 4,824 5,580 May 13, 2017 #3 platozoom said: Hilo jina limeshakukosesha rafiki Click to expand... Umewaza kama mm
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 278,618 1,128,559 May 13, 2017 #5 Mtu mwenyewe hauchuniki kwendraaaa
Ruqaiyah JF-Expert Member Sep 14, 2015 1,118 1,483 May 13, 2017 #6 BUZI LISILOCHUNIKA linahitaji rafiki jamani... Wadada wa mwanza mlio single mkowapi??? Njooni huku
Jambazi JF-Expert Member Jan 18, 2014 16,644 18,707 May 13, 2017 #7 Samahan mkuu huko Mwanza hauna dada au mdogo wako wa kike ukambandue? (in Gentmycine voice)
N Ndola Katali Member Jul 26, 2017 10 4 Jul 26, 2017 #9 Hero Mimi no buzi linalochunika Sent using Jamii Forums mobile app