Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habar wana jamii Imemtokea jamaa yangu naishi nae jirani ambae alikutana na demu mwez mmoja uliopita,wakakubaliana kuingia kwenye mahusiano na kupeana mda wa kuachana na wale wapenzi walioanza nao...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wana jamvi, mimi natafuta mume mwenye sifa zifuatazo Umri kuanzia miaka 31 - 40 Color : Any Tribe : Any Education : Degree na kuendelea Religion : Christian Kabila : Asiwe mchaga au wa...
9 Reactions
356 Replies
22K Views
Kwanza naomba nianze kwa kujitambulisha.. Mimi ni mkazi wa Tanzania na nimejiunga jamii forum zaidi ya miaka kumi sasa lakini niliifahamu JF miaka mitatu kabla ya hapo. NB kujiunga miaka kumi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari, husika na kichwa hapo juu, natafuta mke anayejitambua na kujua nini maana ya ndoa, na mwenye heshima kwa mume - sifa zangu kwa ufupi:- - Nina miaka 30 -mrefu, mwembamba kiasi, rangi yangu...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
natafuta girlfriend umri wowote sichagui rangi wala umbo ambae yupo tayari anipm anytime
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mm n kijan wa miak 23, mwanafunz w mwk w 3 chuo n niko single. Natafut mpenz w kike mwny sifa zifuatazo: Umri: miak 19-22, Dini: yoyote mahali: awe anaishi dar. Kw yoyot alie tayar nichek kwny...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Mimi ni binti wa miaka 24, mkristu (RC) nimeajiriwa, sina mtoto. Natafuta mwanaume wa kunioa, umri 26-35, mkristu, asiwe na mtoto. Nitafute tmaganga21@gmail.com
23 Reactions
139 Replies
21K Views
Naamini mke anaweza kupatikana mahali popote pale Mungu ndo humwongoza mtu kupata mke mwema Sifa zangu Umri:30 Elimu:Chuo Kazi:Nimejiajiri Dini:Mkristo Sifa za nimtakae Umri:19-32 Elimu...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari zenu wana jukwaa, mimi ni kijana wa kiume, makazi yangu ni dar es salaam maeneo ya chanika Lengo na dhumuni kuja mbele yenu nahitaji binti ambaye yuko tayari kuingia katika mahusiani nami...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari zenu, naishi Dar es salaam , natafuta mpenzi ambaye baadae anaweza kuwa mume wangu. WASIFU WANGU -nina umri wa miaka 23. -nina stashahada ya uongozi wa biashara kutoka T.I.A -sina mtoto...
25 Reactions
99 Replies
26K Views
Nahtaji mrembo mmoja wa kushare nae mambo fulani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
885 Views
Mambo zenu wapenzi ,nashindwa kumuelewa huyu mwanaume tulie achana nae japo kua tumeachana anapenda tuishi kama marafiki, Anadai hawezi kukaa kimya bira kunitafuta na kunisalimia Mimi fikra zangu...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
salama na amani iwe kwenu LC Kutafuta na kuchagua mwenza si kazi ndogo kama wengi wanavyochukulia kwa kuwa naamini inawezekana ikawa muendelezo wa furaha yangu ambayo nimeihangaikia kwa miaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wanajukwaa? Ninatatizo kuhusiana na kupokea taarifa ya ujumbe wa message kutoka JF lakini ninapofunguwa ili nisome sioni ujumbe wowote. Msaada tafadhali juu ya hili tatizo
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Have you ever wondered why relationships influence how we perceive our worth and values...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Habari marafiki naitaji mpenzi atakayekuja kuwa mama Watoto Wangu miaka siyo kigezo heshima Na ukweli ndicho cha muhimu mm nafanya kazi nimejiajiri naomba nayy awe amejiajiri au kaajiriwa asante...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu mabinti wa jf:- Husikeni na kichwa cha habari hapo juu: Kipato,umri,rangi,umbo n.k vyote hivyo sitazingatia, cha mhimu awe mwanamke tu! Kwa yeyote ambaye ataguswa moyoni na ujumbe huu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
There is this girl I met at my working place in the mid last year, we exchanged contact that day, and one thing led to the other and we started dating. We are really into each other and I can...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Asalaam Aleykum! Wakuu sipendi kuwachosha maana sisi watu wazima hatunaga habari za nikilala nakuota au nikinywa maji nakuona kwenye kikombe. Jamani kwakifupi ujana wangu nimeutumia vizuri...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
SIFA ZANGU - miaka 27 -mkristo -mchaga -mwalimu -sina mtoto -mweusi -mwembamba -mrefu SIFA ZAKE -anahitaji mke -mwenye upendo wa dhati - mkristo -muajiriwa/amejiajiri -degree, masters, dr -umri...
10 Reactions
212 Replies
30K Views
Back
Top Bottom