Wangu hatongozwi kwanini?

mandela1

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
837
600
Hainiingi akili ule usemi unaosemwa kuwa .
GHARISHA YAKO KWANZA . Sasa wanawake wangi hupenda mapambo ,vidani,cheni,nguo nzuri na n.k
Hii yote huongeza kasi ya yeye kuwa mrembo na kutongozwa mara nyingi.
Sasa ili usiishi kwa wasiwasi maana wengi wanaume tunawapenda wake zetu sana na pia hatupendi kuona wakichepuka na kutongozwa ovyo
Je nisiowe mwanamke mzuri kiasi kuwa akipita mtaani wanamwangalia mara moja na kumpotezea ama niowe mzuri iwe tishio kitaa akipita wajilambe na udenda uwatoke niishi kwa wasiwasi .
WANGU HATONGOZWI nitamuweka awe wakawaida sana
WANGU HATONGOZWI
ntaowa mwanamke wa mbaya yaani wife material na sio sex material

WANGU HATONGOZWI
ntamjengea fensi na kuhemea kila kitu mradi asitoke pia ntafuga mbwa mkali

Je hii iko sawa kuondokana na wivu pamoja na maumivu ya mapenzi?
IMG-20180803-WA0007.jpg
 
Hainiingi akili ule usemi unaosemwa kuwa .
GHARISHA YAKO KWANZA . Sasa wanawake wangi hupenda mapambo ,vidani,cheni,nguo nzuri na n.k
Hii yote huongeza kasi ya yeye kuwa mrembo na kutongozwa mara nyingi.
Sasa ili usiishi kwa wasiwasi maana wengi wanaume tunawapenda wake zetu sana na pia hatupendi kuona wakichepuka na kutongozwa ovyo
Je nisiowe mwanamke mzuri kiasi kuwa akipita mtaani wanamwangalia mara moja na kumpotezea ama niowe mzuri iwe tishio kitaa akipita wajilambe na udenda uwatoke niishi kwa wasiwasi .
WANGU HATONGOZWI nitamuweka awe wakawaida sana
WANGU HATONGOZWI
ntaowa mwanamke wa mbaya yaani wife material na sio sex material

WANGU HATONGOZWI
ntamjengea fensi na kuhemea kila kitu mradi asitoke pia ntafuga mbwa mkali

Je hii iko sawa kuondokana na wivu pamoja na maumivu ya mapenzi?View attachment 838812
Yani uoe mke mbovu usiyempenda kisa unaogopa atatongozwa? Kama wewe ulimtongoza na ubaya wake huo akakubali umuoe kwa nini wengine wasimtongoze?

Akili yako itakua bado iko enzi za zinjan thropus. Acha uzamani oa mtoto mzuri hata ikifika j2 watu wavutiwe kwenda kanisa unaloabudu kisa kumuona mkeo alivyo mzuri.

Sio uoe mke mbaya hadi mwenyewe uwe unamuogopa hata mkialikwa kwenye sherehe unamwambia atangulie utamkuta hutaki kuongozana nae, yote hayo kuogopa kuibiwa penzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa mke ni nini?? Pia kwa hiyo hela, usishangae ukarudi kutoka job na ukakuta maini ya maana na hela yako hajaitumia ingawa mkep ana sura mbaya kama unavyofikiria kuoa.... msipende wafanya wake zenu chambo mkaja juta baadaye..
 
Sasa uowe mwanamke mzuri wa sura mpka umbo kwan ni mashindano mzee
Ni sawa na kumwaga jojo kwa watoto wa primary

Wataacha kuokota ?
 
Uzuri wa mke ni nini?? Pia kwa hiyo hela, usishangae ukarudi kutoka job na ukakuta maini ya maana na hela yako hajaitumia ingawa mkep ana sura mbaya kama unavyofikiria kuoa.... msipende wafanya wake zenu chambo mkaja juta baadaye..
Wanajiongeza
 
Hiyo pesa haitoshi man wangu hata mafuta ya taa haitoshi
Ila mkuu unakuta unga upo mafuta yapo mchele upo yy ni mbogatu kwa kujibana hiyo hela mbona kubwa mkuu

Cheki mnaf na nchicha upo hadi wa mia 200 sembuse hiyo pesa
 
Back
Top Bottom