Huenda wewe ndie uliochaguliwa

mandela1

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
837
600
Habari wandugu street kwny point nina umri wa miaka 24 hakika ni mda teule kwa upande wangu kuwa na mwenza
Ila changamoto nilizonazo kuwa mabinti wengi wa huku mtaani nakuoishi wengi wanapomaliza masomo yao wanapakimbia na kwenda kuishi town sasa panabaki wasichana wachache kweli tena kati ya hao niwakugombania na male wote waliopo hapa kijijini sasa unakuta binti mmoja mmeshapita kama wote ivi
Hii huongeza risk ya kupata magonjwa ya zinaa na HIV kwa ujumla
Nafuta kauli kuwa mchumba utakayekutananaye kwny mitandao hafai sio kweli maana mapenzi huchipua popote bhana mradi maelewano na maridhiano

Chonde kama ni binti mwenye umri kuanzia 21-23 ni Dm tuyajenge huenda ww UKAWA NDO MTEULE ULIOCHAGULIWA
Ndio najishughulisha na napata kipato cha kuweza kuenddesha maisha kwa kiwango cha kati

Karibu sana
 
Ndugu ukiendelea kutafuta kwa njia zako , nakushauri ujichanganye kwenye makundi ya vijana wa rika kama yako labda ukienda kanisani kwenye vikundi vya vijana ushiriki , au kama ni vikundi vya chuo kama unasoma , jaribu kuishi social life , kwa kufanya hivyo inakufungulia wigo mpana wa kukutana na vijana wenzio , pia kua na connections na vijana wa kike hata kama hauna lengo la kua nae kupitia yeye unaweza kukutana na rafiki zake au akakutambulisha kwa wenzie.
 
Habari wandugu street kwny point nina umri wa miaka 24 hakika ni mda teule kwa upande wangu kuwa na mwenza
Ila changamoto nilizonazo kuwa mabinti wengi wa huku mtaani nakuoishi wengi wanapomaliza masomo yao wanapakimbia na kwenda kuishi town sasa panabaki wasichana wachache kweli tena kati ya hao niwakugombania na male wote waliopo hapa kijijini sasa unakuta binti mmoja mmeshapita kama wote ivi
Hii huongeza risk ya kupata magonjwa ya zinaa na HIV kwa ujumla
Nafuta kauli kuwa mchumba utakayekutananaye kwny mitandao hafai sio kweli maana mapenzi huchipua popote bhana mradi maelewano na maridhiano

Chonde kama ni binti mwenye umri kuanzia 21-23 ni Dm tuyajenge huenda ww UKAWA NDO MTEULE ULIOCHAGULIWA
Ndio najishughulisha na napata kipato cha kuweza kuenddesha maisha kwa kiwango cha kati

Karibu sana
Yule mama mtoto wako anayefanya miadi ya kwenda guest house na jamaa mwingine kimatani vipi hakutoshi mkuu?
 
Eti street......... mkiambiwa pendeni shule mnajiona madon hamuambiliki vichwa ganzi.....ona sasa aibu hii!
 
Habari wandugu street kwny point nina umri wa miaka 24 hakika ni mda teule kwa upande wangu kuwa na mwenza
Ila changamoto nilizonazo kuwa mabinti wengi wa huku mtaani nakuoishi wengi wanapomaliza masomo yao wanapakimbia na kwenda kuishi town sasa panabaki wasichana wachache kweli tena kati ya hao niwakugombania na male wote waliopo hapa kijijini sasa unakuta binti mmoja mmeshapita kama wote ivi
Hii huongeza risk ya kupata magonjwa ya zinaa na HIV kwa ujumla
Nafuta kauli kuwa mchumba utakayekutananaye kwny mitandao hafai sio kweli maana mapenzi huchipua popote bhana mradi maelewano na maridhiano

Chonde kama ni binti mwenye umri kuanzia 21-23 ni Dm tuyajenge huenda ww UKAWA NDO MTEULE ULIOCHAGULIWA
Ndio najishughulisha na napata kipato cha kuweza kuenddesha maisha kwa kiwango cha kati

Karibu sana
Hujitambui wewe
 
Back
Top Bottom