Niko Igunga Tbr ni mmoja wa watumishi wa umma katika secta ya Eimu natafuta msichana awe mchumba wangu mwenye umri usiozidi miaka 23 mshiriki wa SDA awe na taaluma yoyote
Niko serious kuliko neno...
Naitwa Dulla Same, nina umri wa miaka 21, kabila langu ni mmakonde (Konde Boy)
Natafuta msichana ambaye nitaanza naye mahusiano ya kimapenzi.
SIFA:
1. Awe anajiamini/kujikubal kwamba ye ni...
Habari za leo wana JF,
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38 natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke anatakiwa awe ana umri kati ya miaka asizidi 40, akiwa hana ama ana mtoto ni sawa. Mimi ni...
Habari wandugu street kwny point nina umri wa miaka 24 hakika ni mda teule kwa upande wangu kuwa na mwenza
Ila changamoto nilizonazo kuwa mabinti wengi wa huku mtaani nakuoishi wengi wanapomaliza...
Habari zenu wanajamvi wenzangu?
Nimeanzisha huu uzi ili kuja mafanikio ya hili jukwaa kwa watu wanaolitumia kutafuta wenzi wao, yaani wachumba, wanandoa hata rafiki wa karibu kutoka humu ndani...
Daah yani ni hatari sana , siku moja nilikua na friend wangu wa jinsi ya kike me nayeye huwatunaongea mambo mengi kwa undani zaidi bila kuoneana aibu , sometimes huwa tunaongea mada za mahusiano ...
habari zenu wanammu, mm n mwanaume wa miaka 28 pia n mwalmu wa advance , natafta mke awe mrefu, ngoz chocolate na mrembo. awe na uwezo wa kusimamia biashara, miaka yake 20 mpaka 24, no 0758704781
Hainiingi akili ule usemi unaosemwa kuwa .
GHARISHA YAKO KWANZA . Sasa wanawake wangi hupenda mapambo ,vidani,cheni,nguo nzuri na n.k
Hii yote huongeza kasi ya yeye kuwa mrembo na kutongozwa mara...
Hi guys, hope wazima wote..mimi ni msichana 27years old.,am hiv +ve, independent
Naelewa changamoto iliyopo kwenye jamii kuhusiana na HIV so imekua vigumu kumpata mtu ambae ni +ve pia sababu...
*_JARIBU KUPITIA HII HATA KIDOGO_*
*_Boresha[emoji813]️NdoaYako[emoji179]_*
[emoji1607]```MWANAUME anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi...
Unakuta Mwanaume anakuwa yuko tayari kuingia kwenye uhusiano lakini mwanamke anakuwa bado. Anataka kuula ujana na yupo katika kile kiwango cha ‘kunguru hafugiki’.
Mwanaume hata afanye nini, yeye...
Vigezo.
1.Umri kuanzia miaka 30,
2.Maji ya kunde au mweupe wa asili na sio weupe wa dukani.
3. Awe anajishughulisha na kazi yeyote(sio utapeli)
4. Umbo la wastani, yaani mrefu kidogo na sio mfupi...
Habari wanajamvi,
Mimi naitwa Mjina Mrefu, nina umri wa miaka 35. Nilishaoa mke wa kwanza miaka sita iliyopita na nina watoto wawili wa kike.
Sasa ninaona ni muda muafaka wa kuongeza mke wa...
Habar zenu wana
Kama kichwa cha habar hapo juu
Daah aisee hakuna kitu kigumu mno kama kuzuia hisia zako , yaan ukizoea kufanya mapenz halaf ukakosa kwa mda akili inakua haifanyi kazi yake vzur...
Mambo vipi jaman natamani kuwa na gf wa arusha
Masharti Ataeka mwenyewe either strings attached au A friend with benefit
Kuhusu mimi
nina miaka 23
Nasoma Chuo flani hivi Hapa Arusha
Usogope...
Ninanyoa Nywele za Sehemu za siri pamoja na Makwapani. Kwa bei nafuu. Nnatumia wembe, Gillette na Shaving Machine. Hii ni kwa Wamama, Wadada pamoja na Mabinti.
Ninakufuata popote ulipo ndani ya...
Habari za humu
Natafuta mume mwenye sifa zifuatazo
Umri 27-34
Elimu si kigenzo cha mume bora
Pesa inatafutwa
Dini muhimu kuwa mkristo safi
Kingezo kikubwa na cha Muhimu Mcha Mungu na Mwenye...
Habari
Natafuta Mke ambaye atakuwa tayari kuishi na Mimi marekani, sichagui kabila wala dini Bali ningependa mwanamke huyo awe na sifa zifuatazo :-
1.awe msafi
2.awe mrefu kiasi
3.awe na chura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.