Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mm ni mwanaume wa over 40 yrs. Nipo dar, natafuta mama aliyefiwa na mume anayehitaji kuliwazwa kisaikolojia na kimapenzi, pia sihitaji pesa zake, mimi ninazo zangu. Mwenye nia aje PM.
0 Reactions
5 Replies
990 Views
mambo naitwa moses mkristo naishi dsm,nna miaka 33,elimu yangu kidato cha sita ,sijabahatika kupata watoto,dini yangu mnyakyusa,urefu wangu 5.8 ft,mwili wastan,rangi maji ya kunde ,bado...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi nikijana nipo hapa dar natafuta mpenzi mwenye kuelewa thamani yakupendwa na kupenda awe mkweli asiwe mwongo naomba aje pm tuongee mengi
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nahitaji mke awe Daktari wa tiba au awe na PhD. umri wake uwe kuanzia miaka 28-39 mweupe au maji ya kunde mrefu asiwe mfupi. umri wangu ni 38, ni mweupe. ambaye atakuwa interested aniandikie...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Sio rahisi sana kuandika hapa,ila tunaandika kwa Imani tu kuwa Mungu atafanya coz mume/mke anapatikana popote: In short natafuta mume umri wangu 27,mkristo,ni single mom(swali la baba ake yupo...
8 Reactions
76 Replies
14K Views
Natafuta mke au mpenzi wa aliyenizidi umri umri wangu miaka 27 naishi morogoro mjini. SIFA ZAKE: - Awe na umri wa miaka 30 na kuendelea - Awe mwenye mapenzi ya kweli kwangu - Awe mwenye...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
habari za jioni wana love connect ninahakika humu hakuna mabinti wanaohitaji kupata wenza,maana vijana wengi wanajitokeza na kutoa detail zao,lakini hakuna mrejesho kwamba wamefanikiwa,nauliza...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Assalam alaykum wana JF naitwa Nasry natokea Morogoro natafuta mchumba ambaye kwa uwezo wa mungu atakuja kuwa MKE In Sha Allah sifa nazozihitaji 1)awe muislamu 2)anaejistir kwa mavazi kuanzia...
2 Reactions
9 Replies
907 Views
SIFA ZANGU - Miaka 35 - Mkristo - Nimejiajiri na nina elimu ya kidato cha nne - Sijawahi oa na sina mtoto SIFA ZAKE - awe tayari kupima afya. - Mkristo na asiwe na mtoto -Elimu yoyote na kabila...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
natafuta marafiki wa kike tu. Wa kubadilishana mawazo....! STRICTLY SINA MPANGO WA KUOA AMA KUWA IN RELATION.. NI PM KAMA UPO READY Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nina miaka 27 nataka mpenz wa kike aliekua na ela maaana mm sina ela ya kuhonga.. Hata senti sina. Ata sugamamy frsh. Nimechoka umaskin
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Assalam alaykum wana JF naitw a Nasry natokea Morogoro natafuta mchumba ambaye kwa uwezo wa mungu atakuja kuwa MKE In Sha Allah sifa nazozihitaji 1)awe muislamu 2)anaejistir kwa mavazi kuanzia...
1 Reactions
0 Replies
420 Views
Wana jf niko dodoma hapa kuhudhuria vikao vya bunge kama Kuna mwana jf yyte wa jukwaa hili basi tuonane tujuane kidogo kwa Sasa Niko hapa Pestana pub mpaka usiku mkubwa so ukija hapa ni inbox
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu, Nilileta habari ya kutafuta mume soma; Nimechoka kumsubiri, nahitaji kuolewa Napenda kuwashukuru wale wote milojitokeza kwa nia nzuri au mbaya na kubwa namshukuru Mungu wangu kwa...
16 Reactions
191 Replies
16K Views
Habari zenu humu ndani, natumai wote ni wazima. Mimi ni kijana mwenye miaka 29, nahitaji mke kutoka humu au nje ya humu jf. Nimekuja humu kwa kuwa nina amini hili ni jukwaa la great thinkers hivyo...
8 Reactions
22 Replies
4K Views
Uwe na umri wa miaka 25-30 Elimu:diploma au degree Makazi:popote Tanzania Kabila:lolote ISIPOKUWA MMACHAME. Kazi:kama huna ajira hakuna shida Mzuri na mwenye umbo zuri. MIMI NILIVYO...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa miaka 27 naishi Dar-Es-Salaam kazi yangu MissionTown Natafuta mpenzi mwanamke hawe na Umri kuanzia miaka 20 mpaka 27 hawe anaishi Dar-Es-Salaam hawe na kazi asiwe na kazi ni...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari ? Najitokeza katika jukwaa hili kutafuta mchumba WA kike , awe na umri kuanzia miaka 18-27. Mimi Nina miaka 28 na nimejiajiri. Tahadhari usije kujaribu . Pia naomba mzingatie umri.... ...
1 Reactions
1 Replies
848 Views
Umri wangu 30,natafuta mke wa kuoa..sichagui dini ,kabila wala elim.vigezo:uwe na chura pia uwe dar Sent using iphone 8
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni binti wa miaka 26.Nina mchumba tuliwekeana ahadi tutaoana, ila naona mda unaeenda na yeye ukimuuliza hajajipanga kimaisha. Nimechoma kumsubiri natafuta mume wa kunioa. angalau awe na...
5 Reactions
129 Replies
23K Views
Back
Top Bottom