Ninatafuta mke wa pili.

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,940
2,000
Habari wanajamvi,

Mimi naitwa Mjina Mrefu, nina umri wa miaka 35. Nilishaoa mke wa kwanza miaka sita iliyopita na nina watoto wawili wa kike.

Sasa ninaona ni muda muafaka wa kuongeza mke wa pili. Na ningependa kama ningempatia hapa JF.

Kama una vigezo hivi vifuatavyo na upo interested, basi ni pm.

1. Mweupe wa moderate.

2. Umri wa miaka 24-28

3. Usiwe na chura sana. Size mfano wa Hamisa Mobeto kiumbo.

4. Elimu kidato cha nne hadi degree.

5. Uwe Hujawahi kuzaa

6. Urembo wa sura bila hata makeup na uwe unasuka. Yaani uwe na nywele ndefu.

7. Uwe tayari kuzaa na mimi watoto wanne

6. Uwe tayari kukubali nioe mke wa tatu.

Endapo ukikidhi vigezo vyangu na kukubali kuolewa na Mjina Mrefu, utapewa vifuatavyo baada ya kuolewa na kushika mimba ya kwanza.

1. Gari ya kutembelea aina ya brevis

2. Nyumba ya kuishi Mbezi kwa msuguli

3. Biashara ya kuuza vitenge vya jumla Manzese kwa ajili ya kujipatia kipato chako cha kukidhi mahitaji yako madogo madogo.

4. Mahitaji yote muhimu ya msingi unayohitaji

Ikumbukwe kuwa, sijamchoka mke wangu wa kwanza, bali ilikua ni mipango yangu kuoa wake watatu na wote niwape equal treatment.

Ukiwa unahisi unakidhi hivi vigezo, na upo tayari, ni pm tu tuyajenge mke wangu mtarajiwa wa pili.

NJOO KWA LENGO LA KUOLEWA NA SIYO LA MALI

Karibu.
 

tozi25

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
6,038
2,000
Nilichojifunza leo hapa wanaume waliopita umri wanatafuta wanawake wadogo. Na wanawake wadogo huja na matakwa yao ya kutaka wanaume wakubwa. Mmhh kwahio tozi25 hata nikifika tozi50 naweza kula vikuku vichanga asante mola kwa upendo huu.
Naomba kuuliza hivi wamama waliofika 40+ nao huleta tangazo la kutafuta mume kuanzia 25 mpaka 50?


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom