Natumaini hamjambo.
Mm ni mkaka sasa nahitaji mwenza/ mke anae jitambua na mwenyenia ya kuolewa, umri wangu kwa sasa ni 33 hivyo mke mtarajiwa awe na umri 24 to 28 yrs. Binafsi ni mkristo hivyo...
Wapendwa ebu tuambizane kdg, hamna mapenz mazito na yanayoitaj moyo kama haya(mwenzako yuko arush ww uko lindi)....n nani anawajibu wa kumtafuta mwenzie, kumjulia hali mwenzie....hivi ndio vitu...
Habari wadau Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28. Wasifu wangu ni:
Rangi: mweusi.
Afya: sina virusi vya ukimwi.
Kabila: mpare.
Urefu : 140.
Elimu: stashahada ya Elimu.
Dini: mkristo.
Dhehebu...
Za mda huu Wadau wa jf.
Niko mwanza Nina miaka kati ya 28 hadi 32
Ninahita mtu(mwanamke) ambaye anamaanisha kama nilivyoandika hapo juu
. Siamini katika kuandika mamho mengi hapa ila kwa...
Mi muislam,umri now Ni 40,natafuta MCHUMBA alie TAYARI aje pm! Mabingwa wa kukosoa hasa wanaume mnaweza kupita tu kimya kimya maana Kuna wakatisha tamaa humu kujifanya mnajua kiiiila kitu,nahitaji...
Nitafurahi sana kama nitapata rafiki wa kike mwenye kujielewa na mwenye mawazo mazuri kuhusu maisha ya kila sila pia awe mtu wa iman/dini. Kama upo tayar nichek kwa lukeloisaac@gmail.com any...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25
Nimeajiriwa kwenye taasisi fulani hapa Dar es salaam.
Elimu yangu ni Diploma of Education.
Mi ni mrefu, mweusi. (hapa najua kuna girl hatanizingatia maana...
Habari za jukwaa Hili”
Nahitaji kuwa na mahusiano ya Karibu na binti/ mdada mwenyewe ndoto za kujenga familia(kuolewa) awe mtu mwenyewe malengo na maisha... umri wangu ni miaka 32yrs nipo dsm’...
Ni mwanaume, naishi Dar es Salaam ni mfanyakazi na biashara pia. Natafuta Mke wa miaka 35 na kuendelea, mkristo na asiwe mchaga au mhaya. Kwa aliye serious tuwasiliane.
Natafuta husband material mwenye umri wa miaka angalau 30 hadi 35
Ma
Dini mkristo (akiwa mlokole au mlutheri itapendeza zaidi)
Sigara, pombe asiguse
Anayejishughulisha ili aweze kuhudumia familia...
Guys, I'm in need, Mimi ni mwanaume and nahitaji mchumba wa kike ambaye kama Mungu akijalia tuje tuoane. Nipo Dar, Am 25 and nipo humble and cool. Sioni umuhimu wa kuweka elimu yangu sababu sina...
Habarini,niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi Ni kijana nimefikia umri wa kuoa na hali zangu zote zinaniruhusu kuoa lakini mpaka sasa sijawahi kuwa na msichana ambaye nimemuweka level za uchumba...
Habari wana JF,
Kwa miaka 6 nilikuwa Dar kikazi, hatimae maono ya kurudi nyumbani kwetu Mwanza yamefanikiwa, na sasa ni mwezi wa 3 nipo Mwanza naendelea na Kazi, nimeshapanga Nyumba, ila upweke...
Natafuta rafiki wa kike anayejitambua,umri miaka 20 mpaka 32. Mimi nina miaka 33,nimeajiriwa na naendesha maisha yangu kawaida. Urafiki huu utatupeleka kwenye mahusiano ya kudumu pale...
Mimi ni kinaja wa miaka 29 naishi arusha tz najishuhulisha na kazi za kitalii sasa naitaji mwanamke mwenye umri wa kuanzi miaka 18 hadi 26 na nipo siriasi kwelikweli na alie tayari unaweza nifata...
Mamboz wanafamilia, i'm looking for cool friends to talk to, 32 aged dude here, am at Arusha at the moment ila i reside in Dar es salaam. Im an enterprenuer/employed. If u need a brother to talk...
Nahitaji mwanamke umri kuanzia miaka 30 mpaka 35 ukiwa na mtoto ni vizuri zaidi
NOTE: -Kupima HIV ni lazima
-sina vigezo
-Mimi ni fundi ujenzi
Simu: 0711451500
0743873589
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.