Usika na mada apo juu natafuta mpenzi jinsia ya kike umri kuanzia miaka 18 adi 25 kuusu dini sichaguwi pia sura sichaguwi ili mradiawe na upendo wa kweli pia awe anapatikana arusha au mikowa ya...
My name is Rogers from Dodoma university...i need a beautiful girl who can be able to refresh our minds together and make plan for the future life...if you are ready just cont me through my...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 23 na nimekua single kwa muda mrefu sasa kila nikiingiza gia kwa wanawake wengi simpati yule ninaemhitaji
Mimi ni maji ya kunde,muislam na urefu wa wastani...
Habarini za muda huu wadau.,
Nipo serious na nitakachoandika hapa;
Nina miaka 27, Mwanaume nimejiari,
hali yangu ya kimaisha ni uchumi wa kati, By professional ni Software Engineer,
Dini...
Habari za mida wadau!! Mimi ni kijana umri miaka 28!! Mchaga!! Natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mama watoto wangu!! Awe ameajiriwa, awe ana aidia ya kufanya biashara!! Asiwe mrefu sana awe...
ndugu wanajamii forum.
Nimehamishiwa kikazi Kigoma. Najisikia mpweke sana. Sina maana kuwa nataka kufanya ufuska. lakini natamani angalau demu wa kuchati naye tu. lakini aliye kigoma.
Karibu inbox
Katika Maisha urafiki ni Jambo la muhimu na lisilokwepeka. Kwa muktadha huo najitokeza mahali hapa kutafuta Rafiki wa kike anayesoma chuo chochote kile hapa DSM.
Life it's all about friendship...
Ni msichana wa miaka 25 mwenye maadili mema anatafuta mume kuanzia umri miaka 30-45. Mwenye hofu na mungu na mwenye maadili mema awe anaishi dar au Zanzibar alietayari pm.
Nimejaribu kila mbinu kuachana na mpzwng nimeshindwa kwan sipo tyr kuwanae tena kutokana na kunistress kila kukicha , ila nimejaribu kila mbinu kuachana nae but mwisho wa ck najikuta narudiana nae...
Habar wapendwa,poleni na majukumu,nahitaji mchumba mwenye vigezo vifuatavyo,elimu lasaba mwisho diploma,umri 22-27,awe tayar kupima hiv,asiwe mfupi sana,mnene saiz,mweusi mweupe yote sawa,awe wa...
Nahitaji future wife, awe mrefu, asiye mnene, rangi sichagui, asiwe na mtoto, awe anafanya kazi awe anapatikana mikoa ya kaskazini. Awe na umbo zuri pia umri usizidi miaka 28 .Aliyeko tayari ani Pm
huwa natamani sana maisha falani ya kuishi na familia lakini sijapata mwanamke alietuli na anaejua samani ya mwanaume kila ninaempata huwa hajatulia kutwa humufumania na wanaume hunitoloka kwenda...
Ni mwanamke ambae naweza kuishi na familia yangu, najipenda na kujiheshimu,mapenzi yangu makubwa ni kwa mwanaume anae jiheshimu na kujitambua yeye kama mwanaume
Kama una sifa sahii za kuitwa...
Kwa wale waliopo Dodoma nahitaji marafiki kwa ajili ya kubadilishana mawazo kutembeleana siku za weekend
Mm ni msichana umri miaka 25
Ni pm kwa mawasiliano zaidi.
Sent using Jamii Forums...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 47,najitokeza hapa kutafuta mke ambae atakuwa ametosheka na NGONO na ambae haitaji tena WATOTO,yule Mwanamke ambae ameguswa na mwenye nia ya dhati,naomba PM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.