Kanisa la Anglikana la Kenya (ACK) limetangaza kuwa kuanzia sasa, hakuna mwanasiasa atakayeruhusiwa kupanda madhabahuni kuhutubia waumini wakati wa ibada za Jumapili au matukio yanayohusiana na...
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga amewajibu wakosoaji wa Serikali ya Rais William Ruto wanaotaka aondoke madarakani huku akisema wanataka atoke aende wapi. Kauli ya Odinga inakuja...
Mwendesha Mashtaka wa umma nchini Kenya alitangaza Jumatano kwamba Mbunge, George Koimburi, ameshtakiwa kwa kughushi vyeti vya masomo.
Koimburi, Mbunge wa eneo Bunge la Juja, anakabiliwa na...
Mwanasiasa mtata na aliyeonyesha uroho wa madaraka na kukosa msimamo nchini Kenya Raila Odinga ametangaza rasmi kujiunga na Ruto aliyezoea kumuita mganga wa kienyeji. Inaonekana wawili hawa...
Nilicheka sana nilipoona vituko vya handshakeee
Baada ya kuungana mzee wetu aka Baba akaenda mkutanoni leo.
kufika babaaaaa anataka kuanza kuongeaaa baba kuhamaki akashtukiaa kundizima la mkutano...
Sijui ni vigezo gani tunatumia kuchagua viongozi wetu Afrika. Kwa nchi kama Kenya mabayo imetajwa kuwa mojawapo ya nchi zenye ukame mkubwa barani Africa jambo linalopelekea uhaba wa maji na wana...
Tukio la ajabu katika inchi ya Kenya. Pastor Bien Getau ambaye ni muhibiri maarufu nchini kenya anadai kupigiwa simu na Bishop aende akampe msaada katika kumwezesha kuendesha kanisa lake alipo...
Anaitwa Soipan Tuya, ndiye Waziri wa Ulinzi wa Kenya.
Ni mwanasheria kitaaluma akiwa na miaka 46 aliteuliwa mwaka jana mwezi wa 8 na Rais William Ruto kuwa Waziri wa Ulinzi.
Kabla ya uteuzi huo...
Wakuu,
Siku kadhaa baada ya Rais William Ruto kutoa mchango wa shilingi milioni 20 kwa kanisa moja jijini Nairobi na kuahidi milioni 100, hisia kali zimeibuka nchini Kenya.
Hivi sasa, Wakenya...
Mkutano wa “Kujadiliana kwa pamoja Fursa Mpya kutokana na Uchumi wa China” ulioandaliwa na Idhaa ya Kiswahili ya Kituo cha Kimataifa cha Televisheni cha China (CGTN) cha Shirika Kuu la Utangazaji...
The Kenya Ports Authority (KPA) has officially operationalised the Sh32 billion Container Terminal 2 with a first ship docking with 2,704 twenty-foot-equivalent units (TEUS) on Tuesday.
The...
Wizara ya afya nchini Kenya imesema ipo mbioni kupambana na mlipuko wa ugonjwa usiojulikana na ambao umeathiri zaidi ya watu 200 katika vijiji vitatu vya jimbo la Kisii eneo la Nyanza Magharibi ya...
Ripoti hii ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu huko nchini Kenya imebaini dosari kubwa za kifedha katika ajenda ya Rais Wiilliam Ruto ya "Hustlers Fund"
Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka wa fedha...
Mwalimu mmoja katika Kaunti ya Nyamira nchini Kenya amelazwa katika hospitali ya Ikonge baada ya kushambuliwa na mwalimu mkuu kwa madai ya kuchelewa kufika shuleni.
Mwalimu huyo wa Sekondari...
Queen Elizabeth II's 1972 Kenya Stopover: A Pivotal Moment in Post-Colonial Diplomacy
Queen Elizabeth II's brief stopover in Kenya during March 1972 represented a critical juncture in...
Rais William Ruto ametangaza kuwa atashirikiana na Waziri Mkuu wa zamani, Raila Odinga, ili kufanikisha ajenda za maendeleo za serikali.
Akimpokea Raila Odinga katika Ikulu ya Mombasa siku ya...
Hatimae sakata la comedy kati ya wanaume wawili
Halmashauri ya Nairobi
Na kampuni ya umeme ya Kenya
Rais Ruto ameingilia kati na kuaguza umeme urudishwe HALMASHAURI
Na halmashauri ya jiji la...
Hii inaitwa ubaya ubwela
Mwosha. Huoshwa
Yaani
Kampuni ya umeme Kenya inadai HALMASHAURI WAKAKATA UMEME
Nao WANADAIWA KODI na HALMASHAURI mashallah wakamwaga UCHAFU MLANGONI
Hii n ubaya...
WAKUU habarini za jion
Naangalia itv hapa naona habari njema
MH RAISI WA Kenya ameomba wakenya kuwa watulivu kwani sasa ameomba wapinzani kukaa pamoja kuunda serikali ya UMOJA
Amesema hii nchi...
The difference starts right at Namanga.
Check the trucks at the border. There are no Kenyan Trucks. But TZ Trucks are loaded bringing goods to Kenya and going back empty. 1-0 TZ
TZ Roads are...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.