Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Wakuu, Wakati hapa Tanzania wapinzani wakiwa wanalalamikia kukamatwa kwa Tundu Lissu huko nchini Kenya mambo pia yameeendelea kuwa sukari. Hivi karibuni Rigathi Gachagua, aliyekuwa Naibu Rais wa...
0 Reactions
3 Replies
645 Views
Baada ya kufukuzwa kazi Naibu Rais Mstaafu wa Kenya Rigathi Gachagua anapoteza stahiki zifuatazo ambazo alizistahili endapo angejiuzulu. 1. Pensheni ya kila mwezi Ksh. 720,000. 2. Malipo ya...
5 Reactions
58 Replies
3K Views
Aliyekua Naibu Rais wa Kenya, ameweka Kambi nje ya Mahakama Kuu Kenya ili kupambania kurudishiwa Cheo chake. Mawakili 20 bado hawaamini?
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwenye kufahamu kiwango cha juu cha ELIMU ya aliyekua Naibu Rais Kenya Rigathi Gachagua tafadhali. Ukimsikiliza matamshi yake Kuna kitu utang'amua
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Naamini Katiba ya Kenya imekiukwa uteuzi Naibu Rais Nimeshangaa kuona mtu aliyewahi kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani na bunge la senate 2020 kisha kufukuzwa kwenye...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen, ametangaza Jumatatu, Machi 31, 2025, kuwa Sikukuu ya Umma kwaajili ya kusherehekea Eid-ul-Fitr Eid-ul-Fitr, inayomaanisha “Sikukuu ya Kuvunja Funga,”...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Maafisa wa forodha nchini India wamemkamata mwanamke mmoja raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 43 kwa kosa la kusafirisha kilo 1.7 za kokeini zenye thamani ya kati ya Ksh225 milioni na Ksh300...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Shirika la Ndege la Taifa, Kenya Airways, limevunja ukame wa faida wa miaka 11 kwa kutangaza faida ya Shilingi bilioni 5.4 kwa mwaka uliomalizika Desemba 31, 2024. Hili ni ongezeko kubwa...
2 Reactions
3 Replies
795 Views
Askofu Willybard Lagho wa Kanisa katoliki jimbo la Malindi, Kenya ametoa waraka kwa makasisi wote wanaosimamia parokia za dayosisi hiyo, akiwaagiza wasiwape nafasi za pekee wanasiasa wakati wa...
3 Reactions
6 Replies
463 Views
Rais wa Kenya William Ruto amesema yuko tayari kushindwa kwenye uchaguzi mkuu wa 2027 endapo hatatimiza matarajio ya Wakenya, akisisitiza kuwa hatashikilia madaraka kwa nguvu iwapo wananchi...
1 Reactions
0 Replies
371 Views
Rufiji Hydropower Project The 2,100MW Rufiji hydropower project is being built on the Rufiji River in Stielger’s Gorge, Selous Game Reserve of Tanzania. With a gross output of 5,920GWh, the plant...
4 Reactions
514 Replies
75K Views
Mbunge wa Mumias Mashariki, Peter Salasya, alipigwa na kutimuliwa kutoka Uwanja wa Nyayo wakati wa mechi kati ya Kenya na Gabon baada ya kuzuka mzozo na mashabiki. Mashabiki hao walidai kuwa...
3 Reactions
11 Replies
893 Views
Kenya's Foreign Affairs secretary Amina Mohamed. PHOTO | DIANA NGILA By PATRICK LANG’AT Posted Monday, October 3 2016 at 13:25 IN SUMMARY The post became vacant after the expiry of term of...
1 Reactions
197 Replies
22K Views
Chanzo: https://x.com/Darrenvickmell/status/1904837433637695607?t=D_cvUfRD4yeI98DSPU1TtA&s=19 Huku William Ruto akiwa ameficha commission yake aliyopewa baada ya kukubali kupeleka Polisi nchini...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Hello, This thread is specifically to help Tanzanians who misunderstand English statements because it's been happening a lot recently. We will quote the statement and the response from the...
6 Reactions
67 Replies
2K Views
WAKENYA wanaendelea kutoa hisia zao kufuatia kauli tata za Mkuu wa Majeshi (CDF) Jenerali Charles Kahariri na Mkurugenzi wa Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi (NIS), Noordin Haji, kuwaonya raia dhidi ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hustler aliahidi kuwainua ,(badala yake KAWABINUA Bodaboda na Mama Mboga (bottom-up) Baada tu ya Kuapa akaanza kulamba Asali na kusahau "hustler" wenzake. Sasa hivi wanaandamana wanaitwa WAHAINI
3 Reactions
13 Replies
686 Views
Aisee Kenya Ina Hali mbaya sana ,Deni lao ni Trilioni 200 (Ksh10T) vs Trilioni 100 za 🇹🇿 😂 😂 😂 😂 👇 👇 Serikali ya Kenya imetangaza kwamba deni la nchi hiyo limefikia shillingi trilioni 10, kiwango...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Kenya Airways will launch two additional direct flights from Nairobi’s Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) to Cape Town in South Africa from November 20. The carrier said the move follows...
3 Reactions
3 Replies
792 Views
Rais wa Kenya William Ruto pamoja na mwanasiasa maarufu nchini humo Raila Odinga wamesaini mkataba utakaowaruhusu kufanya kazi kwa ushirikiano katika kushughulikia matatizo mbalimbali...
1 Reactions
11 Replies
850 Views
Back
Top Bottom