Rais Ruto amesema kwa nafasi yako ni mtumiaji wa Law intelligence data na ana taarifa Wabunge wa Kenya wamekuwa wakinunuliwa na matajiri kwa maslahi ya wachache
Ruto ameahidi kukamata Wabunge...
GT
Eti ooh wale wanaharibu nchi yao wanabomoa lami na majengo upuuzi mtu wa maCCM.
Hizi habari zimfikie kizimkazi manara na RC Chalamila
Sisi waona tuliwaambia wale wanajenga nchi yao.
Wabunge wa ODM na Kenya Kwanza wakabaki wanaulizana huyo Mwamba wa nchi jirani ni nani?
Ila Raila Nadhani alishamjua kama ambavyo Sisi wengine tumemjua
Ahsanteni sana
Mtanikumbuka 🙏😄
Kenya 🇰🇪 has been ranked the top user of ChatGPT in the world.
This comes after a new report showed 42% of internet users aged 16+ in Kenya use the AI tool—higher than any other country.
===
How...
Rais wa Kenya, William Ruto, amejibu hatua ya Marekani ya kutaka kupitia tena hadhi ya nchi yake ya mshirika mkuu asiye mwanachama wa NATO, akisema kuwa machaguo yake ya sera za masuala ya mambo...
Siku chache baada ya Serikali ya Tanzania kutangaza kanuni mpya za leseni za biashara na kodi, Kenya imepinga hatua hizo ikizitaja kuwa za kibaguzi na tishio kwa mshikamano wa kiuchumi wa Jumuiya...
Naibu Rais Kithure Kindiki na Waziri wa Mambo ya Ndani Kipchumba Murkomen wamemtaka kiongozi wa Chama cha Demokrasia kwa Wananchi (DCP), Rigathi Gachagua aandikishe taarifa na polisi aliporejea...
🗿 Lost Cities of Kenya – Echoes of a Forgotten Past 🇰🇪
Kenya hides in its soil and forests the stories of thriving cities that once buzzed with trade, culture, and power — now silent, but not...
Watu sita wamefariki baada ya ndege ndogo ya shirika la misaada ya matibabu kuanguka katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, kulingana na afisa wa eneo hilo.
Charity Amref Flying Doctors wamesema...
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 23, Lukman Ismail Athman maarufu kama Jelal, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na Mahakama ya Lamu kwa kosa la kumbaka mara kadhaa mwanafunzi wa Darasa la...
Kiongozi wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM),Raila Odinga amelaani kauli ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen baada ya kutoa agizo kwa Jeshi la Polisi kuwapiga risasi na...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Africa mashariki Dr Ruto amewaambia Wananchi wake kuwa wamebahatika kumpata yeye kama Rais wao
Ruto amesema katika ukanda huu hapa Jawa hi kutokea Rais msomi, mwenye...
Ndugu Mwagodi aliyedaiwa ametekwa jijini DSM nchini Tanzania amepatikana huko huko Kenya akiwa ameteswa na kuumizwa sana
Uchunguzi unaendelea huko huko nchini kwake alikopatikana Kwani inadawa...
Shule ya umma anayosoma Pauline Wahuna, iliyoko katika Kaunti ya Kajiado, kusini mwa Kenya, inaweza kutoonekana kwa urahisi, lakini imekuwa kituo kinachoshamiri cha kuendeleza kizazi kijacho cha...
Hospitali ya Rufaa na Mafunzo ya Moi iliyoko Eldoret imethibitisha kisa kimoja cha ugonjwa wa mpox kwa mtoto mchanga; imewashauri wafanyakazi wake kuwa waangalifu ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa...
Patrick Osoi, aliyewahi kuwa askari wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF), alikamatwa Jumanne baada ya kuunda vuguvugu la kupinga ukatili wa polisi pamoja na maafisa wawili wa polisi. Siku ya...
Siku chache baada ya Waziri wa Fedha, nchini Kenya, John Mbadi kutangaza kushindwa kumudu gharama za elimu bure kwa shule za msingi na sekondari kutokana na ongezeko la wanafunzi, viongozi wa...
Diaspora flows hit fresh highs in March
MONDAY, MAY 7, 2018 21:15
A WESTERN UNION SIGNAGE ON KENYATTA AVENUE IN NAIROBI. FILE PHOTO | NMG
Kenyans abroad sent home a record $641.5 million...
"Mwabili alitupwa kichakani huko Kinondo, Kaunti ya Kwale majira ya saa 9 alfajiri, ambako alitembea takriban kilomita 3 hadi Diani. Alipowasili Diani, aliweza kuwasiliana na familia yake ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.