Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

A Kenyan activist working in Tanzania has allegedly been abducted. --- Kwa mujibu wa Mwandishi wa BBC Isabella Kituri, mwanaharakati Mwabili Mwagodi ametoweka akiwa nchini Tanzania. Kituri...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Source:CitizenDigital ======= Serikali ya Kenya imetangaza kushindwa kumudu gharama za kufadhili elimu ya bure kwa shule za msingi na sekondari, hatua itakayoathiri maelfu ya wanafunzi na...
1 Reactions
14 Replies
880 Views
Judith Nafula alijitwalia cheo hicho baada ya kuripotiwa kufukuzwa katika Kanisa Katoliki la Lwanya kwa madai ya kufanya miujiza kwa waumini wa kanisa hilo. Nafula alidai alipokea mwito kutoka kwa...
1 Reactions
7 Replies
630 Views
Rais William Ruto amepinga wito unaozidi kumtaka ajiuzulu kupitia nyimbo zinazoongezeka za ‘Ruto Must Go’ katika maandamano ya mitaani na mitandao ya kijamii. Katika hotuba yake katika Soko la...
0 Reactions
4 Replies
387 Views
Tume inayosimamia kupunguza Migogoro ya kikabila na kuimarisha umoja wa kitaifa Kenya (NCIC) imemfuta kazi Makamu Mwenyekiti wake, Wambui Nyutu, kwa kushiriki siasa za chama kinyume na kiapo chake...
1 Reactions
6 Replies
670 Views
Wakuu, Ugonjwa wa Mpox wasambaa Magharibi mwa Kenya Kaunti za Busia, Bungoma na Kakamega zimeathiriwa na mlipuko wa ugonjwa wa Mpox, unaosababishwa na virusi. Busia ni ya pili kwa athari nchini...
0 Reactions
1 Replies
532 Views
February 4, 2019 Dar -es-Salaam, Tanzania Tanzania's BRT system has been running for 3 years As Kenya awaits 64 high capacity buses this month, Tanzania has been providing rapid transport...
8 Reactions
47 Replies
8K Views
Mwanaharakati Boniface Mwangi adaiwa kukamatwa nyumbani kwake, Courage Base, eneo la Lukenya katika Kaunti ya Machakos na maafisa wanaoaminika kuwa kutoka Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI), huku...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Wanandoa Regina Munyoki (41) na Mumewe Isaiah Gura (52) wanashikiliwa na Polisi nchini Kenya wakidaiwa kuwatumikisha watoto wao Kingono, kwa kuwatumia katika kuzalisha maudhui ya Kingono na...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Tanzania’s e-vehicle Tanzania, the East African natural resource-rich country, has endorsed a maiden rollout of elect ric safari vehicle at its flagship national park of Serengeti, in an effort...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Miongoni mwa masuala yaliyofanikisha kuchaguliwa kwa Rais William Ruto ni ahadi nyingi alizotowa kwa raia wa Kenya. Moja ya ahadi hizo ilikuwa ni ajira kwa vijana. Limekuwa tatizo kubwa nchini...
0 Reactions
3 Replies
374 Views
Maafisa wa upelelezi wa mauaji wamemkamata Kennedy Kalombotole, mtuhumiwa mkuu wa mauaji ya kutisha ya wagonjwa wawili katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa...
0 Reactions
2 Replies
393 Views
Dr. Maraga aliwahi kua jaji mkuu wa Kenya na sasa amekua mwanaharakati wa haki za binadamu. Dr. Maraga amekua akishiriki maandamano ya Gen Z wa Kenya na kutaka haki itendeke vijana wasionewe...
1 Reactions
5 Replies
678 Views
Mbunge wa Viti Maalum Kaunti ya Wajir, Fatuma Abdi Jehow, amenukuliwa na Buzzroom Kenya akisema kuwa endapo Rais William Ruto hatopata kura za kutosha mwaka 2027 katika eneo la Kaskazini Mashariki...
0 Reactions
3 Replies
334 Views
Wakuu, Ofisi ya Msajili wa Ndoa nchini Kenya imeanza kuchapisha mtandaoni majina, picha, tarehe na maeneo ya harusi za wanandoa watarajiwa kupitia jukwaa la serikali la eCitizen, hatua ambayo...
0 Reactions
6 Replies
915 Views
Idadi ya vifo kutokana na maandamano ya Saba Saba nchini Kenya yaliyofanyika Jumatatu iliyopita imepanda na kufikia zaidi ya watu 43, kwa mujibu wa takwimu mpya zilizotolewa na shirika la haki za...
0 Reactions
3 Replies
478 Views
Wajir Woman Rep Fatuma Abdi: "Sisi Wabunge Wa North Eastern Tunasema Tutam For President Ruto, Hata Kama Hatutakuwa Na Kura, Tutamwibia!" Source: Kenya.gossip.club & buzzroomkenya
0 Reactions
1 Replies
280 Views
Mamlaka ya Kitaifa ya Kupambana na Matumizi ya Pombe na Dawa za Kulevya nchini Kenya (NACADA) imependekeza kuongeza umri wa kisheria wa kunywa pombe kutoka miaka 18 hadi 21, kama sehemu ya sera...
0 Reactions
1 Replies
482 Views
Mamlaka ya Kitaifa ya Kampeni dhidi ya Matumizi Mabaya ya Pombe na Dawa za Kulevya (NACADA) inapanga kutekeleza sheria kali zaidi kuhusu uuzaji na unywaji wa pombe na dawa za kulevya. Sera ya...
0 Reactions
2 Replies
336 Views
Askari watatu wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) wamepoteza maisha huku wengine saba wakijeruhiwa baada ya mlipuko wa bomu la kutegwa ardhini (IED) kutokea katika eneo la Badaah, barabara ya...
0 Reactions
5 Replies
464 Views
Back
Top Bottom