Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Nairobi yatajwa kuwa jiji la tatu lenye hewa chafu zaidi barani Afrika
1 Reactions
10 Replies
727 Views
Na Dr. Maureen Olesumba Laizer Mtafiti wa masuala ya Uchumi na Biashara 2021 Hawkins Circle LOS ANGELES, CA 90001-2257 USA Nimemsikia Rais wa Kenya bwana Ruto akiongelea uchaguzi wa Tanzania...
3 Reactions
23 Replies
670 Views
Ruto anasema kimbelembele chao kilimpeleka mambele kuingia deal na Microsoft na G42 ili waanzishe Data Centers Kenya, lakini wakaambiwa kuwa data center moja inahitaji MW 1,000, wakati nchi nzima...
1 Reactions
20 Replies
627 Views
Kwa miaka mingi, bidhaa muhimu zaidi ya Kenya iliyokuwa ikiuzwa nje ya nchi ilikuwa kahawa. Leo, ni wafanyakazi. Fedha zinazotumwa nyumbani na Wakenya wanaofanya kazi nje ya nchi sasa zinachangia...
1 Reactions
5 Replies
179 Views
Kama ambavyo tunafahamu, China nan chi za Afrika zimekuwa na ushirikiano na uhusiano unaogusa pande nyingi, ikiwemo elimu, kilimo, sayansi na teknolojia, biashara na uchumi, pamoja na masuala ya...
2 Reactions
3 Replies
167 Views
Mwanaharakati wa Kenya Bob Njagi amefichua kwamba kukamatwa kwake hivi karibuni nchini Uganda, pamoja na mwanaharakati mwenzake Nicholas Oyoo, kulipangwa kwa makusudi. Amesema walikamatwa muda...
4 Reactions
2 Replies
416 Views
Waziri Mkuu wa Baraza la Mawaziri, Musalia Mudavadi, amewataka Wakenya kuepuka kuvuka mipaka ya nchi kwa ajili ya kutafuta haki au kushiriki katika siasa za mataifa jirani, akionya kuwa uhuru...
2 Reactions
4 Replies
226 Views
https://m.youtube.com/watch?v=PTqDwq2Afgs
1 Reactions
5 Replies
200 Views
https://m.youtube.com/watch?v=Fb0NXm8zczM
1 Reactions
8 Replies
168 Views
Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Kenya (KCAA) imethibitisha kuwa ndege ndogo iliyokuwa ikisafiri kutoka Diani kwenda Kichwa Tembo imeanguka katika Kaunti ya Kwale. Taarifa ya Mkurugenzi Mkuu wa...
1 Reactions
2 Replies
330 Views
Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Kenya (KCCB) limeitaka serikali kufanya mapitio ya haraka ya marekebisho mapya ya Sheria ya Matumizi Mabaya ya Kompyuta na Uhalifu wa Mtandaoni pamoja na Sheria...
1 Reactions
3 Replies
131 Views
Iko Nairobi yapata km 10 kutoka CBD ya Nairobi;- Kibera inajulikana kwa umaarufu wake kama moja ya mitaa ya mabanda mikubwa na maskini zaidi duniani. Hakuna idadi kamili ya watu wanaoishi...
18 Reactions
209 Replies
7K Views
Mtu yeyote anayeweza kunisaidia kupata Lain(Simcard) ya Safaricom, Napatikqna Dodoma, Tanzania.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Takribani watu 17 wamepoteza maisha wakiwa gerezani kati ya mwaka 2024 na 2025, kwa mujibu wa ripoti ya Independent Medico-Legal Unit (IMLU)IMLU shirika lisilo la kiserikali nchini Kenya...
1 Reactions
3 Replies
142 Views
Serikali ya Kenya imetoa wito kwa serikali ya Uganda kufanya uchunguzi huru kwa raia wawili wa Kenya waliotekwa na kupitea nchini Uganda ambao hadi sasa hawajulikani walipo. Bob Njagi na Nicholaus...
1 Reactions
3 Replies
159 Views
Ubalozi wa Kenya jijini Dar es Salaam umeihakikishia raia wa Kenya wanaoishi nchini Tanzania kuhusu usalama wao, kufuatia machafuko yaliyotokea baada ya uchaguzi mkuu Kupitia taarifa iliyotolewa...
2 Reactions
3 Replies
221 Views
Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, amemwandikia Waziri Mkuu wa Baraza la Mawaziri na Waziri wa Mambo ya Nje na Masuala ya Diaspora, Musalia Mudavadi, akitaka hatua za haraka kuchukuliwa...
2 Reactions
4 Replies
260 Views
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Kenya (LSK), Faith Odhiambo, amewakaribisha wanaharakati Nicholas Oyoo na Bob Njagi, ambao walipatikana usiku wa Alhamisi katika mpaka wa Busia baada ya kutoweka...
0 Reactions
2 Replies
210 Views
The revolution planned by Mr. PAKA, with the support of four European countries during the elections in Tanzania using Kenyan media outlets and activists to tarnish Tanzania’s image failed Either...
4 Reactions
75 Replies
2K Views
Back
Top Bottom