Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

The Energy and Petroleum Regulatory Authority (EPRA) has announced new fuel prices that will take effect from May 19 to June 14, 2026, bringing slight relief to diesel users while increasing the...
0 Reactions
0 Replies
135 Views
Watu 4 wafariki dunia kufutia maandamano ya kupinga bei ya mafuta yaliyofanyika jana May 18, 2026, huku mgomo wa magari(matatu) ukiendelea kwa siku ya pili licha ya Diseli kushushwa kwa Tsh...
0 Reactions
2 Replies
293 Views
When Mwai Kibaki’s administration took power in 2002, one of its biggest scandals was hiding and providing refuge to mass murderer Felicien Kabuga Kabuga benefited from protection networks...
0 Reactions
0 Replies
103 Views
Nairobi imeamka na stress nyingine tena after transport operators announcing kwamba strike itaendelea kesho because talks na serikali zimegongana mbaya. From matatus, boda bodas, Uber mpaka cargo...
2 Reactions
3 Replies
170 Views
Jeshi la Polisi nchini Kenya 🇰🇪 limesema uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa shambulio la kuchomwa moto kwa mwanamke aliyesambaa mitandaoni baada ya kuchora tattoo kubwa ya uso wa Rais William Ruto...
1 Reactions
38 Replies
885 Views
Dr. Zack. Dodoma,Tanzania. VIONGOZI WA Serikali ya Kenya hawa hawa wakina Mh William Rutto miaka ya nyuma walipigania uwepo wa KATIBA MPYA ETI yenye kujali haki za watu/"Wananchi" ya mwaka 2010...
0 Reactions
1 Replies
118 Views
Mwanamke wa nchini Kenya aliyefahamika kwa jina la Rachel Wandeto, ambaye aliwahi kusambaa mitandaoni baada ya kuchora tattoo ya Rais William Ruto kifuani mwake, ameripotiwa kufariki dunia akiwa...
2 Reactions
6 Replies
295 Views
Lei, Mei 18 kwenye baadhi ya maeneo kumeonekana migomo na maandamano ya watu wakidai bei ya mafuta imekuwa kubwa sana hivyo wanahitaji uwajibikaji bdi ishuke
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Kenyans wameamka tena na shock ya mpya kwa bill ya stima after EPRA kuongeza fuel charges, forex adjustment na WRMA levy. Hii inamaanisha every unit ya power imeongezeka cost before hata taxes...
0 Reactions
0 Replies
363 Views
Maandamano ya kitaifa ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta yamegeuka kuwa vurugu na kusababisha vifo Jumatatu, Mei 18, baada ya makabiliano makali kati ya polisi na waandamanaji katika maeneo...
0 Reactions
0 Replies
126 Views
Serikali ya Rais William Ruto imeahidi kuhakikisha haki inapatikana baada ya kifo cha mwimbaji wa gospel Rachel Wandeto aliyefariki kufuatia shambulizi la kuteketezwa kwa petroli jijini Nairobi...
0 Reactions
0 Replies
127 Views
Completely barabara zote ziko deserted, hakuna gari kabisa. Gen Z naona wako kazini kumshughulikia yeyote mwenye gari atakayesaliti UMMA. Kwetu je? Midabwada Angalia K24 tv
5 Reactions
7 Replies
266 Views
Hii ni Barabara ya Thika kuelekea mjini... wenye magari wanalazimika kurudi....Vijana wanawataka warudi nyumbani wasiingie town....hofu ya wezi ni kubwa pia Maeneo ya Kitengela =============...
0 Reactions
1 Replies
150 Views
Wakazi wa Faza, Lamu East bado wako kwa shock baada ya msiba wa kutisha kutokea ndani ya msikiti mchana kweupe. Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 33, anayejulikana kama Khalid Maka, aliuawa kwa...
2 Reactions
4 Replies
156 Views
Kenya is mourning the loss of gospel artist Rachel Wandetto, who succumbed to severe burn injuries at Kenyatta National Hospital on Monday, May 18, 2026. Wandetto had been attacked in Mwiki days...
0 Reactions
0 Replies
219 Views
Gospel artist Rachel Wandeto is nursing severe injuries after she was allegedly attacked, doused with a flammable substance, and set ablaze by unknown assailants in the Mwiki area of Kasarani...
0 Reactions
0 Replies
120 Views
Maelfu ya wasafiri katika jiji la Nairobi wamekwama baada ya waendesha matatu kutekeleza tishio lao la kusimamisha huduma za usafiri wa umma kupinga ongezeko la bei ya mafuta. Mgomo huo umewapa...
0 Reactions
3 Replies
120 Views
Thousands of Kenyans were left stranded on Monday after a nationwide transport strike paralysed movement across major towns and cities, with public service vehicles (PSVs), boda bodas, taxis, and...
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Defending champions Police and KDF each have eight boxers in the finals of the 2026 boxing league opener but the women’s participation is merely an exhibition act because their points are not...
1 Reactions
1 Replies
138 Views
Waandishi wa habari kutoka Standard Media Group wamezuiwa kuingia katika event ya Rais William Ruto huko Naivasha wakati wa Second National Education Conference. Kisa hiki kimeibua mjadala...
1 Reactions
1 Replies
156 Views
Back
Top Bottom