Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Wakili mmoja kutoka Nairobi amefungua shauri katika Mahakama Kuu akiomba kutolewa kwa amri ya kusitisha magari ya usafiri wa umma (matatu) kupiga muziki wa sauti kubwa, akisema kuwa tabia hiyo...
1 Reactions
1 Replies
128 Views
Serikali ya Kaunti ya Nairobi, kupitia Waraka wa Kamati ya Utendaji ya Kaunti (CEC) Na. 43 wa mwaka 2025, uliosainiwa Desemba 2025 na Mjumbe wa CEC anayesimamia Mitaa, Utawala na Rasilimali Watu...
0 Reactions
1 Replies
156 Views
Mahakama Kuu imeamuru kutaifishwa kwa mali zenye thamani ya shilingi milioni 76.2 zinazomilikiwa na aliyekuwa Gavana wa Kaunti ya Kiambu, Ferdinand Waititu, ikiwemo kurejeshwa kwa vipande viwili...
2 Reactions
4 Replies
303 Views
Wakenya 86 walioko nchini Myanmar wamekwama kwa zaidi ya miezi miwili wakikaa chumba kimoja, wakiiomba Serikali ya Kenya iingilie kati ili warejeshwe nyumbani. Wanasema hali wanayoishi ni ngumu...
1 Reactions
5 Replies
199 Views
Katika vurugu zilizotokea Octoba 29,2025 jijini Dar es Salaam miongoni mwa watu waliouawa ni pamoja na Mwalimu John Ogutu aliyekuwa akifundisha katika shule ya Msingi Sky. Baada ya mauaji hayo...
0 Reactions
3 Replies
211 Views
Utata umegubika kifo cha mwendesha bodaboda Jack Deon Maloba, mwenye umri wa miaka 23, aliyekamatwa Alhamisi jioni tarehe 11 Disemba, na kufariki akiwa katika kituo kimoja cha polisi jijini...
0 Reactions
1 Replies
163 Views
Licha ya umbo lake dogo, Peter Murigi mwenye umri wa miaka minane aliwavutia watazamaji huko Kiambu, katikati mwa Kenya, alipopanda jukwaani kuonesha weledi wake wa Kungfu. Murigi alikuwa...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
"Hata siamini kiasi cha pesa nilizopata kwa siku 45 tu," alisema Mahasen Mohamed, mama wa watoto watatu, katika kongamano lililofanyika hivi karibuni jijini Cairo kujadili maendeleo ya vijijini...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Jana Desemba 13,2025 Taifa la Kenya liliingia kwenye majonzi baada ya kumpoteza mwanasiasa mashuhuru na mfanyabiashara, Cyrus Jirongo maarufu CJ kwa ajali ya gari akiwa na miaka 64. Jirongo...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Vuta kiti, uketi. Kisha agiza popcorn ya kutosha ukipitia mkasa huu wa ajabu. Ndani ya siku mbili tu, tarehe 25 na 26 ya mwezi November, miili miwili ya mume na mke iliokotwa sehemu tofauti ikiwa...
22 Reactions
64 Replies
4K Views
Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi...
10 Reactions
29 Replies
679 Views
THE SECRET BEHIND KENYA’S ROLE IN FUELING UNREST IN TANZANIA UNDER THE GUISE OF FIGHTING FOR DEMOCRACY. By Dr. Geus Mbadika Nyaisanga Dar es Salaam, Tanzania The General Election of the United...
2 Reactions
7 Replies
786 Views
Hatimaye imewadia Jumatano iliyosubiriwa kwa hamu tarehe 25 Juni 2025, ambapo Gen Z wa Kenya wanatarajiwa kufanya maandamano, Swali niJe, waandamanaji watakuwa salama dhidi ya polisi? HALI...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Aliyekuwa Gavana wa Nairobi na Mfanyabiashara maarufu Nchini Kenya, Mike Sonko, amerejea tena kwenye ulingo wa siasa baada ya kusajili rasmi chama chake kipya, National Economic Development Party...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Marekani imetangaza kuwa itachangia zaidi ya dola bilioni 1.6 katika kuboresha mfumo wa afya wa Kenya kupitia makubaliano mapya ya utekelezaji wa miaka mitano yaliyosainiwa siku ya Alhamisi. Hii...
2 Reactions
11 Replies
321 Views
https://www.tiktok.com/@nickibigfish/video/7581171984571108664?is_from_webapp=1&sender_device=pc
0 Reactions
0 Replies
97 Views
Mnakumbuka kwenye maandamano ya Gen Z Kenya mwaka jana, Serikali ya Ruto ilikuwa inazuia vyombo vya habari live maandamano yaliyokuwa yanaendelea? Sasa leo Mahakama Kuu ya Kenya imetoa agizo la...
3 Reactions
3 Replies
248 Views
Kenya and Uganda will jointly own shares in the Kenya Pipeline Company once the privatisation process is completed, President William Ruto has announced. Speaking on Sunday during an investment...
2 Reactions
11 Replies
642 Views
Waziri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT), William Kabogo, amesema hakuna taarifa zozote za serikali zilizopotea au kuibwa na wadukuzi baada ya tovuti kadhaa za serikali kuvamiwa mapema...
1 Reactions
3 Replies
179 Views
Back
Top Bottom