Jonathan Ogolla: Ni kichekesho Rais wa Nchi kukutwa na US Dollar 50 million halafu Wanasiasa wanashangaa na kupiga Mayowe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,106
Mkenya Jonathan Ogolla amewaomba Watanzania wawe wanafuatilia Usaili wa Mawaziri wa Kenya na Viongozi wengine wanaoteuliwa na Rais na kuthibitishwa na Bunge

Ogolla anasema kila Msailiwa hutakuwa kuelezea Utajiri wake kwa mujibu wa Sheria na hapo ndio Utajua Kenya hakuna Kiongozi maskini na Ukiwa maskini Wananchi hawakuhitaji

Ogolla ameshangaa Watanzania kumtolea macho Rais mwenye tudollar milioni 42 tu na kusema Kenya hicho ni kichekesho

Ogolla ni mwanaharakati wa Tabia Nchi

Mlale Unono 😀
 
Back
Top Bottom