Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Wanajeshi nane wa Kenya wanahofiwa kufariki baada ya helikopta waliokuwa wakitumia kuanguka Kaunti ya Lamu. Taarifa kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Kenya imesema Helikopta ya Jeshi la Wanahewa la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KENYA: Mahakama imemhukumu Mchekeshaji, Eric Omondi na wenzake 15 kwenda jela kwa siku 30 baada ya kuwakuta na hatia ya kufanya mikusanyiko kinyume na Sheria Licha ya Mahakama kutoa nafasi ya...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
https://qz.com/africa/1923616/tanzanias-magufuli-blocks-twitter-facebook-sms-on-election-eve/ an
9 Reactions
38 Replies
6K Views
Mahakama Nchini humo imetoa hukumu hiyo dhidi ya Mchekeshaji huyo na raia wengine 15 baada ya kuwakuta na hatia ya kufanya mikusanyiko kinyume na Sheria Licha ya Mahakama kutoa kukata Rufaa...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Kalonzo Musyoka, Kiongozi wa Kamati ya Kitaifa ya Majadiliano na timu ya upande wa Raila Odinga ametoa kauli hiyo na kueleza kuwa wanaridhishwa na jitihada za Rais Ruto katika kutafuta muafaka...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtu mmoja Ijumaa alidaiwa kupigwa risasi na kuuawa na maafisa wa polisi baada ya maandamano kuzuka katika mji wa Wajir. Maandamano hayo yalizuka baada ya maafisa wa Shirika la Huduma ya...
0 Reactions
3 Replies
732 Views
MWANAUME wa miaka 40, mkazi wa Kijiji cha Manyata katika Kaunti ya Murang’a, anadaiwa kujitoa uhai kwa ajili ya kukwepa deni la Ksh 30, 000 ambayo ni sawa na Sh 520, 000 za Tanzania ambalo...
0 Reactions
2 Replies
998 Views
Askari Polisi mmoja aliyetambulika kwa jina la Michael Kyalo amejiua kwa kujipiga na risasi baada ya kumjeruhi mkewe kwa risasi huko Kaunti ya Bondo nchini Kenya mapema leo, Polisi wameripoti...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Tafiti mpya iliyofanywa na mamlaka ya kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya NACADA imeonesha kuwa watumiaji wa bangi wameogezeka maradufu katika kipindi cha miaka 5. Kwa mujibu NACADA, mtu mmoja...
0 Reactions
1 Replies
755 Views
katika kile kinachoonekana kama copy & paste ya njia zilizotumiwa na shujaa wa chato katika kukabiliana na matajiri wanaotumia nguvu ya fedha kujimilikisha mali za waafrika wajinga,Rais wa taifa...
-1 Reactions
12 Replies
1K Views
Gavana wa Meru, Kawira Mwangaza amewaacha Wananchi wa Kaunti hiyo katika hali ya mshangao baada ya kuipa barabara inayounganisha maeneo ya Kirung'a na Muthalankari jina la mumewe, Murega Baichu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mamlaka nchini Kenya zimeyafuta Makanisa matano likiwemo kanisa la Mshukiwa aliyewachochea zaidi ya Waumini wake 400 kufunga hadi kufa. Msajili wa Mashirika nchini humo katika notisi iliyowekwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Katibu Mtendaji wa Umoja wa Walimu katika tawi la Nandi, Boniface Tenai ametoa wito kwa Serikali kutenga Rasilimali za kutosha kukabiliana Ugonjwa wa Saratani ambao umeshambulia idadi kuwa ya Watu...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
kadoda11 MOTOCHINI tuusan MK254 Iconoclastes mulanKE Kafrican nyangau mkenya game over Nyinyi waTZEE hamjui mangoma za kenya za Kuskiza Wachana Na Mainstream Media enda kule ndani Utafute...
4 Reactions
83 Replies
12K Views
Ni taarifa kutoka kwa Mbunge wa Kisumu Mashariki, Shakeel Shabbir ambaye amelieleza Bunge kuwa amepokea Malalamiko ya Wananchi 5 waliodai kupata shida za Kiafya ikiwemo maumivu ya Macho. Akijibu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tuache mzaha, teknolojia ya magari Kwa Africa Bado sana.Sasa hata kama ni uzalendo hili ndio gari gani Sasa? 🤣🤣🤣🤣 Wacha Ruto aendelee kuwa Mzalendo ila binafsi siwezi kutoa pesa yangu kununua...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
List of African Countries with Hardest Working and Laziest People - African Entrepreneur Startup Project Below is a list showing countries with hardest working people. The list also acknowledges...
9 Reactions
206 Replies
69K Views
Kenya’s Bitcoin Trading Volumes Hit $45.95 Million in 2020, Second Highest in Africa Brian Njuguna Dec 15, 2020 06:30 Despite the grappling effects of the coronavirus pandemic, Kenya’s Bitcoin...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakili Ahmednasir asema Maimamu wenye msimamo mkali huko nyuma walishughulikiwa kwa uthabiti na baadhi ya misikiti kufungwa Adokeza kuwa baadhi waliuawa na wengine kufungwa jela kwa kutishia amani...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jeshi la Kenya (KDF) linafana juu chini kuhakikisha kila Askari mwenye cheo Cha kanali hawezi kupiga chafya bila rais na amir Jeshi mkuu wa nchi hiyo kupewa taarifa. Sababu kubwa ya rais kuongeza...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom