Dah, yaani Kenya mpaka kwenye muziki tunatawala Afrika, hamna chochote ambacho tumeachwa nyuma, hii nchi tumebarikiwa kuwa na watu wanaojituma kwa kweli, tunatawala kiuchumi, kielimu, kijeshi...
If you have been following World affairs closely, you probably already know what is ahead of humanity.With that in mind,President of Kenya has urged his citizens to get rid of U.S. Dollars...
Huu mtanange utaishia wapi, je ndio mwanzo wa kusambaratika kwa EAC?, kama vipi tulivunje hili "JAHAZI" ili tugawane mbao kila nchi itokomee kusiko julikana, ama namna gani wajameni?
Hii haijatokea kwetu ni huko Kenya wanako jua maaana ya uwajibikaji.
Baada ya kukatika umeme kwa masaa mawili uwanja wa Ndege wa Nairobi taarifa ya hivi punde ni kuwa mkuu wa viwanja vya Ndege...
Kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga, amemjibu Balozi wa Marekani Mchini humo, Meghan Whitman, kuwa Kenya sio koloni la Marekani na kumtaka Whitman kujiepusha na siasa za Kenya...
''Asiye na dhambi awe wa kwanza kuokota mawe na kuwapiga hawa watuhumiwa''.........mwisho wa kunukuu sasa endelea na story
======
Bibi na Bwana harusi watarajiwa wamejikuta wakishindwa kufunga...
Katika kujaribu kudhibiti taasisi za kidini, Serikali imefuta usajili wa Makanisa 6, yakiwemo Makanisa ya Mchungaji Ezekiel na Paul Mackenzie
PaulMackenzie kwa sasa yupo kizuizini kwa kurubuni...
Mwanaume mmoja amelazwa Hospitali nchini Kenya baada ya kujichoma moto katika eneo la Mwembe Tayari Kaunti ya Mombasa huku chanzo cha kufanya hivyo kikiwa bado hakijafahamika ingawa taarifa za...
Bunge la Kenya limembana Kamishna wa Ofisi hiyo, Immaculate Kassait na kumweleza kuwa amewaangusha Wananchi kwa kushindwa kuchunguza na kuhakikisha Taarifa Zao Binafsi zinalindwa dhidi ya kampuni...
Seneta Jackson Mandago na Watu wengine 3 wanakabiliwa na Mashtaka 11, ikiwa ni pamoja na Wizi na matumizi mabaya ya ofisi. Anatuhumiwa kushiriki katika njama ya kuiba Ksh. Bilioni 1.1, sawa na...
Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula leo amepokea ombi rasmi la kutaka kupiga marufuku matumizi ya mtandao wa TikTok, kwa madai kuwa mtandao huo unatumiwa vibaya na Vijana kueneza uchafu na...
Je, Kenya imeweza kutambua kwamba suala hili linaweza kuwa na matokeo tofauti kulingana na walafi wa rasilimali za Afrika na jinsi sera hiyo inavyotekelezwa na serikali inavyoshughulikia masuala...
Akiwa katika Mahakama ya Shanzu ambapo shauri dhidi yake na washirika wake linatajwa, Paul Mackenzie alipiga kelele akiitaka Mahakama iwaue kisha miili yao itupwe Mto Yala, akidai haki zake na za...
Mchungaji McKenzie analalamikia kutopewa haki za kibinadamu akiwa jela.
Anadai amekuwa akinyimwa kutoka nje na kuota jua, analalamikia GIZA la humo ndani.
Amesahau waamini wenzake wako katika...
Rais William Ruto ameibua mjadala mitandaoni baada ya wataalam wa saa za mkononi kufichua kwamba alivaa saa kutoka kwa kampuni ya Jaeger Coultre yenye thamani ya Shilingi milioni 6.4 za Kenya...
Jeshi la Polisi Nchini #Kenya, linamshikilia kwa mahojiano, #DJBrownskin (Michael Macharia Njiiri) anayedaiwa kurekodi tukio hilo ambalo limetajwa kuwa ni kosa la kusaidia kuua, kinyume na Kifungu...
Mhubiri wa eneo la Bomet kaunti amekamatwa na mwanafunzi wa Kidato cha Nne mwenye umri wa miaka 17 huko Kisii wakati wakisubiri usafiri kuelekea Kisumu.
Binti huyo ambae ni Mwanafunzi wa Shule ya...
Watu wengi wajitokeza katika maeneo mbalimbali jijini Nairobi, Kenya kuandikisha utambulisho wao wa kipekee kupitia mboni ya jicho kwenye Kampuni inayoitwa Worldcoins, ambapo kama malipo wanapewa...
Rais wa Kenya, William Ruto ametoa mwongozo mpya wa usafiri kwa Maafisa wa Serikali nchini Kenya ambapo amesema kila Afisa wa Serikali anapaswa kusafiri kwenda nje ya Nchi kwa siku 45 tu kwa mwaka...
Odinga anazidi kukaza,amkalia Ruto kama Vile Beberu USA alivyomkalia Putin Hadi akakimbia Mkutano wa Brics 😁😁
-----
Rais wa Kenya, Dk William Ruto, amesema yuko tayari kufanya mazungumzo kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.