Uwajibikaji: Kukatika kwa umeme mkuu wa viwanja vya Ndege afutwa kazi

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,098
9,994
Hii haijatokea kwetu ni huko Kenya wanako jua maaana ya uwajibikaji.

Baada ya kukatika umeme kwa masaa mawili uwanja wa Ndege wa Nairobi taarifa ya hivi punde ni kuwa mkuu wa viwanja vya Ndege amefutwa kazi.
 
Back
Top Bottom