Kenya is the only African country in the top 10 producers of Avocados

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,746
48,386
Avocados have in a recent past become one of Tanzania’s hottest exports with more farmers engaging in what has been christened as the green gold.

However, even with production hitting record levels Tanzania is yet to hit the top 10 global producers with much of the production being dominated by Southern and Central American countries.

According to latest report by World of Statistics, Kenya is the only African country in the top 10 producers of Avocados with 176,045 tones annual production.

The leading producer being Mexico with 1,889,354 tonnes, Dominican Republic with 601,349, Peru 455,394 , Colombia with 309,431 and Indonesia with 304,938 tonnes per annum
Others are Brazil with 195,492, USA 172,630, Chile 137,365 and China 122,942 in the 10th slot.

Tanzania Horticultural Association (TAHA) estimates that the country’s avocado exports reached 11,237 tonnes, or 510 containers worth $33 million in 2021.

This is 12.6 percent more compared to 2020 sales. According to the Tanzania Private Sector Foundation (TPSF), in 2018 Tanzania exported 7,551 tons with a total value of $8.5 million to Europe, Africa, and Asia.

TAHA projects that Tanzania will export 15,000 tonnes in 2023, thus generating $45 million in foreign currency.

Tanzania Avocado Production Avocado is a relatively new crop that Tanzania started exporting in 2009.

Commercial production/export of avocados is dominated by Rungwe Avocado Company Ltd and Africado Ltd, which is based in Siha District, Kilimanjaro region. The two companies jointly produce more than 5,000 tonnes per year.

The rest of the growers are smallholder farmers who own a couple to hundreds of avocado trees around their homesteads and in distant farms. Popular avocado varieties produced in Tanzania are Hass, Fuerte, Pinkerton, and, to some extent, Puebla.

Tanzania’s prominent avocado-producing areas are in the regions of Mbeya, Njombe, Songwe, and Iringa in the southwest, as well as in Kilimanjaro, Arusha, and Tanga in the northeast of the country, where coffee and tea are traditionally grown

Source: The Citizen
 
Avocado zinatoka Bongo zinauzwa Kenya, Wakenya wanauzq Ulaya.
yes...ni rahisi kuziexport kwenda kenya kisha ulaya kuliko kutoka tz kwenda ulaya. Ukianza kuomba vibali, wizara ya kilimo na taasisi zinazohusika wanaona ni kama unataka kuwatoa roho na umeshakuwa bilionea. utazunguushwa ili utoe rushwa mpaka utakoma.

Ni bora ushirikiane na mkenya, aombe vibali kenya ambavyo unapata kwa urahisi kisha wewe unasafirisha avocado kwenye mafuso kwa urahisi kwenda nairobi, yanaoshwa, na kusafirishwa kwenda ulaya as a produce of Kenya. kwa sababu mwisho wa siku is not about patriotism bali mapato. Patriotism inauawa na watendaji wa serikali ya ccm
 
Ni bora ushirikiane na mkenya, aombe vibali kenya ambavyo unapata kwa urahisi kisha wewe unasafirisha avocado kwenye mafuso kwa urahisi kwenda nairobi, yanaoshwa, na kusafirishwa kwenda ulaya.
Kuna kipindi nilikua natakiwa Kusafirisa Gallstones kwenda Hong Kong, nimeenda Fedex wakanambia nije na Vibari vya Serikali, nikaenda Wizara ya Kilimo, story zikawa mingi kama unavyosema, nikarudi Fedex kuwaeleza changamoto nilizokutana nazo Wizara ya Mifugo, Fedex wakanishauri niende tu kwa Mkemia Mkuu kufanya kipimo then watanisafirishia kifurushi changu kwa Documents toka kwa Mkemia!

Kufika kwa Mkemia, hawajui Gallstones ni nini, issue yangu ikawa kubwa hivi mpaka kukutana na Mkurugenzi wa kitengo fulani, kujieleza.....!

Sasa safari zote hizo nafanya na Business Partner raia wa Nje, akaanza kuniuliza, Mbona hii Tanzania iko very Complicated hivi!?
Hizi Stones mm husafirisha kila siku kwenda Nje, kwa nchi yangu sihitaji Documents yoyote ku export hizi stones, Coz Serikali yangu inajua nauza nje, ntalipwa Dollas, ntafanya kitu Nyumbani.....!

Nikamwambia sio Tanzania, wafanyakazi wengi wa umma wamekua kama Jokala Mdimu...
 
hii nchi ina mambo ya hovyo sana. tumeshikilia kushabikia siasa tu lakini mambo yanayoleta uhai wa taifa yanapuuzwa kabisa.
 
yes...ni rahisi kuziexport kwenda kenya kisha ulaya kuliko kutoka tz kwenda ulaya. Ukianza kuomba vibali, wizara ya kilimo na taasisi zinazohusika wanaona ni kama unataka kuwatoa roho na umeshakuwa bilionea. utazunguushwa ili utoe rushwa mpaka utakoma.

Ni bora ushirikiane na mkenya, aombe vibali kenya ambavyo unapata kwa urahisi kisha wewe unasafirisha avocado kwenye mafuso kwa urahisi kwenda nairobi, yanaoshwa, na kusafirishwa kwenda ulaya as a produce of Kenya. kwa sababu mwisho wa siku is not about patriotism bali mapato. Patriotism inauawa na watendaji wa serikali ya ccm
Mkuu, badilika Sasa, achana na hizo "negativity", za zamani, watu wanasafirisha mazao na mbogamboga na kupata pesa nyingi bila vikwazo vyovyote, serikali imeamua kuingia gharama ya kununua ndege ya mizigo Ili kuwarajisishia wakulima na wafanya biashara tatizo la kuisafirisha mazao Yao kupitia Nairobi ambako ndiko kulikokua na ndege nyingi zenye lusafirishia mazao.

Badala ya kukubali mapungufu yetu binafsi Kama raia, kwamba wakenya ndio waliochangamka zaidi katika kuuza mazao nje ya nchi kuliko sisi watanzania, Ili tutafute ni jinsi gani na sisi tunaweza kuanza kufanya Kama wao(Kama tunavyochamngamkia hivi Sasa), wewe bado unaendeleza kutoa lawama kwa serikali Ili kuhalalisha uendelee kulala usingizi.

Ninauhakika hujawahi hata kujaribu kuulizia kuhusu kufanya biashara ya kupeleka mazao nje ya nchi, amka mkuu nchi inasonga mbele kwa Kasi Sana.
 
unalete story za kwenye magazeti na za kupatia kura wakati wa uchaguzi. ingia katika hizo biashara, anza kuomba vibali . Au tafuta mtu mmoja anayefanya hizo biashara kisha muulize madhila aliyopitia wakati wa kutafuta vibali. Pengine ndipo utaelewa.
 
Wacha mawazo ya kizamani mkuu, hivi Sasa Tanzania tunaongoza kuuza mazao Kenya, South Sudan, Rwanda, DRC, na nchi za kusini mwa Africa, hivi unadhani kwanini tunaongoza katika kuuza mazao nje ya nchi kwa wingi kuliko nchi yoyote Ile katika ukanda huu?.

Hivi unajua kwamba hivi Sasa Tanzania ndiyo kinara katika ku - export nyama, minofu ya samaki na mazao ya bustani katika ukanda wote wa East and Central Africa?, Vipi bado unadai eti Kuna vikwazo vya kuuza mazao kwasababu tu umesikia Kenya wananunua na ku-export mazao toka Tanzania?.

Kwa jinsi unavyozungumza, ni wazi kwamba hata ofisi za wizara za kilimo na vitengo husika vinavyohusika na uuzaji wa mazao nje ya nchi huvijui, wewe unasikia tu maneno ya mitaani. Amka mkuu watu wanatengeneza pesa nyingi katika biashara ya mazao nje ya nchi.
 
Avocados have in a recent past become one of Tanzania’s hottest exports with more farmers engaging in what has been christened as the green gold.

However, even with production hitting record levels Tanzania is yet to hit the top 10 global producers with much of the production being dominated by Southern and Central American countries.

According to latest report by World of Statistics, Kenya is the only African country in the top 10 producers of Avocados with 176,045 tones annual production.

The leading producer being Mexico with 1,889,354 tonnes, Dominican Republic with 601,349, Peru 455,394 , Colombia with 309,431 and Indonesia with 304,938 tonnes per annum
Others are Brazil with 195,492, USA 172,630, Chile 137,365 and China 122,942 in the 10th slot.

Tanzania Horticultural Association (TAHA) estimates that the country’s avocado exports reached 11,237 tonnes, or 510 containers worth $33 million in 2021.

This is 12.6 percent more compared to 2020 sales. According to the Tanzania Private Sector Foundation (TPSF), in 2018 Tanzania exported 7,551 tons with a total value of $8.5 million to Europe, Africa, and Asia.

TAHA projects that Tanzania will export 15,000 tonnes in 2023, thus generating $45 million in foreign currency.

Tanzania Avocado Production Avocado is a relatively new crop that Tanzania started exporting in 2009.

Commercial production/export of avocados is dominated by Rungwe Avocado Company Ltd and Africado Ltd, which is based in Siha District, Kilimanjaro region. The two companies jointly produce more than 5,000 tonnes per year.

The rest of the growers are smallholder farmers who own a couple to hundreds of avocado trees around their homesteads and in distant farms. Popular avocado varieties produced in Tanzania are Hass, Fuerte, Pinkerton, and, to some extent, Puebla.

Tanzania’s prominent avocado-producing areas are in the regions of Mbeya, Njombe, Songwe, and Iringa in the southwest, as well as in Kilimanjaro, Arusha, and Tanga in the northeast of the country, where coffee and tea are traditionally grown

Source: The Citizen
Mbona habari za maandamano hujatuleta ukizingatia wewe ulikuwemo humo,, na je vipi kuhusu unga ushaanza kuingia mana mlikuwa mnashindia magimbi,, eti kubwa jinga!!
 
Kuna kipindi nilikua natakiwa Kusafirisa Gallstones kwenda Hong Kong, nimeenda Fedex wakanambia nije na Vibari vya Serikali, nikaenda Wizara ya Kilimo, story zikawa mingi kama unavyosema, nikarudi Fedex kuwaeleza changamoto nilizokutana nazo Wizara ya Mifugo, Fedex wakanishauri niende tu kwa Mkemia Mkuu kufanya kipimo then watanisafirishia kifurushi changu kwa Documents toka kwa Mkemia!

Kufika kwa Mkemia, hawajui Gallstones ni nini, issue yangu ikawa kubwa hivi mpaka kukutana na Mkurugenzi wa kitengo fulani, kujieleza.....!

Sasa safari zote hizo nafanya na Business Partner raia wa Nje, akaanza kuniuliza, Mbona hii Tanzania iko very Complicated hivi!?
Hizi Stones mm husafirisha kila siku kwenda Nje, kwa nchi yangu sihitaji Documents yoyote ku export hizi stones, Coz Serikali yangu inajua nauza nje, ntalipwa Dollas, ntafanya kitu Nyumbani.....!

Nikamwambia sio Tanzania, wafanyakazi wengi wa umma wamekua kama Jokala Mdimu...
Unasafirisha Gallstones? How hebu nieleze maana Gallstone ninayojua mimi inatengenezwa kwa gallbladder! hebu nieleze hata mimi sijui ni nini! Unatumbua watu nn? Unafanya biashara ya human organs nn?
 
Wacha mawazo ya kizamani mkuu, hivi Sasa Tanzania tunaongoza kuuza mazao Kenya, South Sudan, Rwanda, DRC, na nchi za kusini mwa Africa, hivi unadhani kwanini tunaongoza katika kuuza mazao nje ya nchi kwa wingi kuliko nchi yoyote Ile katika ukanda huu?.

Hivi unajua kwamba hivi Sasa Tanzania ndiyo kinara katika ku - export nyama, minofu ya samaki na mazao ya bustani katika ukanda wote wa East and Central Africa?, Vipi bado unadai eti Kuna vikwazo vya kuuza mazao kwasababu tu umesikia Kenya wananunua na ku-export mazao toka Tanzania?.

Kwa jinsi unavyozungumza, ni wazi kwamba hata ofisi za wizara za kilimo na vitengo husika vinavyohusika na uuzaji wa mazao nje ya nchi huvijui, wewe unasikia tu maneno ya mitaani. Amka mkuu watu wanatengeneza pesa nyingi katika biashara ya mazao nje ya nchi.
nimekwambia ingia katika hizo biashara, anza kutafuta vibali. acha kuniletea story za hovyo ambazo unasoma kwenye magazeti. Hizo porojo unazosema zingekuwa kweli, kwa nini hujiulizi soko kubwa la avocado ya tz zinazozalishwa mkoa wa arusha, kilimanjaro, manyara, njombe na iringa, kwa nini soko lake ni kenya? Unadhani zinaliwa kenya? kwa nini kenya iwe katika top ten wakati produce kubwa inatoka tz?

Au nawe ni mmoja wa wapuuzi mlioajiriwa katika hizo ofisi unahofu kibarua chako unaleta utetezi wa kipumbavu
 
Kuna kipindi nilikua natakiwa Kusafirisa Gallstones kwenda Hong Kong, nimeenda Fedex wakanambia nije na Vibari vya Serikali, nikaenda Wizara ya Kilimo, story zikawa mingi kama unavyosema, nikarudi Fedex kuwaeleza changamoto nilizokutana nazo Wizara ya Mifugo, Fedex wakanishauri niende tu kwa Mkemia Mkuu kufanya kipimo then watanisafirishia kifurushi changu kwa Documents toka kwa Mkemia!

Kufika kwa Mkemia, hawajui Gallstones ni nini, issue yangu ikawa kubwa hivi mpaka kukutana na Mkurugenzi wa kitengo fulani, kujieleza.....!

Sasa safari zote hizo nafanya na Business Partner raia wa Nje, akaanza kuniuliza, Mbona hii Tanzania iko very Complicated hivi!?
Hizi Stones mm husafirisha kila siku kwenda Nje, kwa nchi yangu sihitaji Documents yoyote ku export hizi stones, Coz Serikali yangu inajua nauza nje, ntalipwa Dollas, ntafanya kitu Nyumbani.....!

Nikamwambia sio Tanzania, wafanyakazi wengi wa umma wamekua kama Jokala Mdimu...
So sad aisee
 
nimekwambia ingia katika hizo biashara, anza kutafuta vibali. acha kuniletea story za hovyo ambazo unasoma kwenye magazeti. Hizo porojo unazosema zingekuwa kweli, kwa nini hujiulizi soko kubwa la avocado ya tz zinazozalishwa mkoa wa arusha, kilimanjaro, manyara, njombe na iringa, kwa nini soko lake ni kenya? Unadhani zinaliwa kenya? kwa nini kenya iwe katika top ten wakati produce kubwa inatoka tz?
Amuulize Fernandes na TALA yake kwanini amekimbizia Kenya kampuni yake wakati at first alikua akujifanya Mzalendo
 
nimekwambia ingia katika hizo biashara, anza kutafuta vibali. acha kuniletea story za hovyo ambazo unasoma kwenye magazeti. Hizo porojo unazosema zingekuwa kweli, kwa nini hujiulizi soko kubwa la avocado ya tz zinazozalishwa mkoa wa arusha, kilimanjaro, manyara, njombe na iringa, kwa nini soko lake ni kenya? Unadhani zinaliwa kenya? kwa nini kenya iwe katika top ten wakati produce kubwa inatoka tz?

Au nawe ni mmoja wa wapuuzi mlioajiriwa katika hizo ofisi unahofu kibarua chako unaleta utetezi wa kipumbavu
Wewe ni miongoni mwa watu wajinga Sana,
1)Tunasafirisha nje zaidi ya mazao 20, ya shambani, baharini na mifugo, kwanini iwe ni ovacado pekee ndiyo unatolea mfano?
2)Wakenya pia wanalima parachichi, tena kwa wingi, huku kwetu wanakuja kujazia mzigo wao.
3)Wakenya tangu zamani wamekua wakisafirisha mazao nchi za nje, hivyo wamekua na mtandao mzuri wa masoko huko nje, pia kwa kutumia mtandao wa usafiri wa ndege mkubwa kupitia JKIA, kwa muda mrefu ilikua ni rahisi kusafirisha mazao kutokea Nairobi kuliko Tanzania
4)Nenda angalia mipaka ya Namanga na Tunduma ona jinsi magari yanavyovuka mpaka kufanya biashara
5)Tanzania ndio tunaongoza kwa "Exports" in terms of value and volume of goods and services", iweje umeshikilia bidhaa Moja pekee ya parachichi, huo ni zaidi ya ujinga ulionao.

Wewe inaonekana hujui biashara yoyote ya nje ya nchi zaidi ya kupiga kelele. Kila siku waziri Bashe anatoa maelezo jinsi ya kupata vibali vya kuisafirisha mazao nje ya nchi, wewe husikili umekazania mambo ya kizamani na "negativity" za kijinga.
 
Unasafirisha Gallstones? How hebu nieleze maana Gallstone ninayojua mimi inatengenezwa kwa gallbladder! hebu nieleze hata mimi sijui ni nini! Unatumbua watu nn? Unafanya biashara ya human organs nn?
Hata Mimi pia nimeshituka kidogo, ngoja tusubiri jibu.
 
Avocado zinatoka Bongo zinauzwa Kenya, Wakenya wanauzq Ulaya.
Uongo , Kenya ovacado tunapanda sana.
20220918_183113.jpg
20220918_183113.jpg
20220918_183102.jpg
 
Wewe ni miongoni mwa watu wajinga Sana,
1)Tunasafirisha nje zaidi ya mazao 20, ya shambani, baharini na mifugo, kwanini iwe ni ovacado pekee ndiyo unatolea mfano?
2)Wakenya pia wanalima parachichi, tena kwa wingi, huku kwetu wanakuja kujazia mzigo wao.
3)Wakenya tangu zamani wamekua wakisafirisha mazao nchi za nje, hivyo wamekua na mtandao mzuri wa masoko huko nje, pia kwa kutumia mtandao wa usafiri wa ndege mkubwa kupitia JKIA, kwa muda mrefu ilikua ni rahisi kusafirisha mazao kutokea Nairobi kuliko Tanzania
4)Nenda angalia mipaka ya Namanga na Tunduma ona jinsi magari yanavyovuka mpaka kufanya biashara
5)Tanzania ndio tunaongoza kwa "Exports" in terms of value and volume of goods and services", iweje umeshikilia bidhaa Moja pekee ya parachichi, huo ni zaidi ya ujinga ulionao.

Wewe inaonekana hujui biashara yoyote ya nje ya nchi zaidi ya kupiga kelele. Kila siku waziri Bashe anatoa maelezo jinsi ya kupata vibali vya kuisafirisha mazao nje ya nchi, wewe husikili umekazania mambo ya kizamani na "negativity" za kijinga.

joto la jiwe : inajulikana wewe ni mpizani wa kweli wa Kenya lakini jamaa ana hoja nzuri. Changamoto ya vibali bado ipo tena sana. Kama na wewe ni msafirishaji wa mazao basi lazima kupata vibali haikua kazi rahisi. Ni kweli kwa sasa tunaongoza kuuza mazao nje ya nchi lakini ingeweza kua zaidi ya sasa kama vibali vingekua vinapatikana kiurahisi.
 
Back
Top Bottom