Rais Ruto apiga Marufuku Uagizaji wa Mahindi kutoka Nje Kwa Madai ya Kulinda Wakulima wa ndani

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,114
49,840
Wakulima wa Tanzania jiandaeni na mporomoko zaidi wa bei maana soko kubwa linalotegemewa la Kenya wameivisha mahindi ya kutosha na Sasa wamepiga marufuku kuingiza mahindi kutoka Nje
-.--

1696529435299.png
The government will no longer issue permitsto millers to import wheat or maize into the country.

PresidentWilliam Ruto, while speaking on Thursday at State House when he met adelegation from Narok North Constituency led by its MP Agnes Pareiyo, said themove is aimed at protecting local farmers and stabilising prices.

ThePresident pointed out that the government will allocate Ksh.4 billion to buymaize from farmers, stating; “We ask our farmers not to sell their produce atthrow-away prices.”

TheHead of State announced that NCPB driers will be used to dry farmers' maize ata minimal fee of Ksh.50 in a bid to reduce post-harvest losses over highmoisture.

Currently,a bag of maize costs nearly Ksh.400.

“Evenif farmers don’t want to sell their maize to NCPB, they will have anopportunity to dry their produce at the State agency and store it,” Rutoexplained.

ThePresident at the same time said a KCC milk plant will be constructed in Narokto improve milk quality and thus boost prices.

Leadersin the meetings included Governors Patrick Ole Ntutu (Narok) and JonathanLeleliit (Samburu), Narok West MP Gabriel Tongoyo, MCAs and grassroots leaders.

Hayo yanajiri wakati Tanzania imezalisha chakula Cha ziada zaidi Tani mil.4 hivyo kuzua hofu ya kuporomoka Kwa bei Kwa mazao ya wakulima.

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1710167698691313779?t=zAmmbbGvJ_xN4kqEDAKQZA&s=19
 
Tumezalisha vya kutosha tutapeleka wapi surplus?

hilo ni jambo la kawaida kwa kenya na tanzania, tumewazoea. nafikiri serikali inatakiwa kuangalia alternative ya soko la mahindi ya wakulima wetu kwasababu jambo hili linajirudiarudia mara nyingi, tunatakiwa kutafuta dawa ya kudumu, kenya huwa wanatumia kama fimbo kuchapa wakulima wa tanzania, hasa ruto hiyo ni kawaida yake. hatutakiwi kuwa tegemezi wa soko la mahindi kenya, tuvutie uwekezaji wa viwanda zitoe finished products kwenda sio kenya tu bali na kwengine.
 
Nimewahi pendekeza tukuze sekta ya mifugo ndio Inatoa soko kubwa la uhakika Kwa mazao ya Kilimo hasa mahindi.

Lakini sioni jitihadi za kutosha za kubadili aina ya ufugaji Wetu.Nchi zote wazalishajo wakuu wa mahindi kama America,Brazil,China nk wanategemea soko la mifugo.Tungeweza kuingia makubaliano na Nchi kama za Waarabu,Botswana nk ambazo walau zina developed diary and beef farming.

Mwisho kama mifugo inatushinda tutafute masoko ya Nje ambayo ni ngumu Kwa sababu hapa Afrika Kila Nchi inazalisha mifugo Yao.
 
Back
Top Bottom