Kwanini Wakenya wengi wanapenda sana kuhamia Marekani?

mk4

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
285
328
Katika nchi za east africa, Kenya ndio inaongoza kuzamia marekani kuzidi nchi yoyote ile east africa ikifwatiwa na Uganda!
Nashukuruh sana watanzania hawana sana shobo na marekani kama majirani zetu hapo juu!
Ukiwa kenya kwenda marekani ni ufahari sana bt bongo watu hawana time sana kwenda mbele kama wenzetu kenya na uganda
Trump fukuza hao, warudi kwao kujenga mataifa yao
0cf9d64bce38679c03cbe8582541e32d.jpg
 
Hizo ni hesabu za 2013 za wahamiaji Marekani kutoka nchi chache za Afrika; jumla inaonesha walikuwa 1,488,000! Je, leo 2017 wanaingia wangapi Marekani sio kutokea Afrika tu bali duniani wakiongoza na waarabu? Trump ana haki ya kuwa mkali; yuko sahihi kabisa.
 
Ni kweli kabisa, mimi nashangaa sana mijitu inalalmika kweli eti imeathirika wakati wana nchi zao, huo ni upumbavu uliopitiliza,kuna dada mmoja msomali yupo south Africa nimemsikia juzi analalamika kweli wakati kwao kuna alshabab. Trump katika amri yake yeye ametaja nchi ambazo ni tishia kwa kurecruit magaidi lakini hakutaja dini, sasa wanzangu wale wenye misimamo wameongezea maneno ambayo hakusema. Kuna nchi kubwa kabisa zina uwezo lakini zimelalamika duuuh inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom