Mwanaharakati wa ODM, Nuru Okanga ashtakiwa kwa kumtukana Rais Ruto kupitia YouTube

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Mwanaharakati wa ODM, Nuru Maloba Okanga, ameshtakiwa kwa kumtusi Rais William Ruto kupitia akaunti yake ya YouTube.

Okanga alifika mbele ya Hakimu Mkuu wa Milimani, Lucas Onyina, ambapo alikana mashtaka hayo.

Kulingana na mashtaka, Nuru Okanga aliandika maneno ya kejeli mnamo Novemba 20, 2023. Inadaiwa kwamba alitenda kosa hilo pamoja na wengine ambao hawakufika mahakamani.

Upande wa mashtaka ulisema maneno hayo yenye kashfa yalikuwa yakielekezwa kwa Rais Ruto.

Okanga alikamatwa mnamo Novemba 29, 2023, na maafisa wa DCI na kuwekwa kizuizini Kituo Kikuu cha Polisi.

Akijitetea, Okanga aliiambia mahakama kwamba alifanya mtihani wa KCPE Shule ya Msingi ya Kiislamu huko Mumias, Kaunti ya Kakamega, na alikuwa anasubiri kujiunga na Kidato cha kwanza mwaka ujao.

-----

ODM activist Nuru Maloba Okanga has been charged with insulting President William Ruto through his YouTube account.

DM activist Nuru Maloba Okanga has been charged with insulting President William Ruto through his YouTube account.

Okanga appeared before Milimani Chief Magistrate Lucas Onyina where he denied the charge.

According to the prosecution, the accused aged 32 printed abusive words on November 20, 2023. He allegedly committed the offense with others not before court.

The prosecution said the offensive words were directed at President Ruto. Okanga was arrested on November 29, 2023, by DCI officers and detained at Central Police Station.

Defending himself, Okanga told the court that he sat for the KCPE examination at Muslim Primary School in Mumias, Kakamega County and was waiting to join Form One next year.

"He is also a family man of three children and all depend on him," he said through his lawyer. He was released on a cash bail of Sh10,000 with one contact person.

Okanga.jpg
 
Ikidhihirika kwamba kamtukana rais wa nchi, sheria ichukue mkondo wake pasi kumuonea wala kupendelea mtu.
Maana hawa wanaharakati wanadanganywa na wanaowapa hela, au wafadhili. Wanasema ni haki yako kumtukana rais wako. Kumbe kwetu sisi hiyo ni mwiko.
 
Mwanaharakati wa ODM, Nuru Maloba Okanga, ameshtakiwa kwa kumtusi Rais William Ruto kupitia akaunti yake ya YouTube.

Okanga alifika mbele ya Hakimu Mkuu wa Milimani, Lucas Onyina, ambapo alikana mashtaka hayo.

Kulingana na mashtaka, Nuru Okanga aliandika maneno ya kejeli mnamo Novemba 20, 2023. Inadaiwa kwamba alitenda kosa hilo pamoja na wengine ambao hawakufika mahakamani.

Upande wa mashtaka ulisema maneno hayo yenye kashfa yalikuwa yakielekezwa kwa Rais Ruto.

Okanga alikamatwa mnamo Novemba 29, 2023, na maafisa wa DCI na kuwekwa kizuizini Kituo Kikuu cha Polisi.

Akijitetea, Okanga aliiambia mahakama kwamba alifanya mtihani wa KCPE Shule ya Msingi ya Kiislamu huko Mumias, Kaunti ya Kakamega, na alikuwa anasubiri kujiunga na Kidato cha kwanza mwaka ujao.

-----

ODM activist Nuru Maloba Okanga has been charged with insulting President William Ruto through his YouTube account.

DM activist Nuru Maloba Okanga has been charged with insulting President William Ruto through his YouTube account.

Okanga appeared before Milimani Chief Magistrate Lucas Onyina where he denied the charge.

According to the prosecution, the accused aged 32 printed abusive words on November 20, 2023. He allegedly committed the offense with others not before court.

The prosecution said the offensive words were directed at President Ruto. Okanga was arrested on November 29, 2023, by DCI officers and detained at Central Police Station.

Defending himself, Okanga told the court that he sat for the KCPE examination at Muslim Primary School in Mumias, Kakamega County and was waiting to join Form One next year.

"He is also a family man of three children and all depend on him," he said through his lawyer. He was released on a cash bail of Sh10,000 with one contact person.

Si huwa wanasema kwao wako free kufanya hivyo kama US, tatizo la wakenya midomo mipana lkn hamna kitu, wanapenda kuiga maisha ya US wakati wao ni LDC.

CC mwaiofhawaii Mwai Sadima Dickson mpumbavu wa ukoo wa Sadima.
Teargas
Nicxie
nairobae
NairobiWalker
MK254 (ambaye ndiye huyo huyo nairobiwalker)
 
Back
Top Bottom