Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Rais Ruto: Ndege yangu ya kwenda Marekani iligharimu chini ya Ksh.10 milioni. Hakuna njia ninaweza kutumia Ksh.200 milioni. Mimi ni msimamizi mwaminifu. Mimi si mwendawazimu. Lazima niwe kiongozi...
0 Reactions
2 Replies
660 Views
Ruto hajajiunga NATO. Rais wa Marekani, Joe Biden, alitangaza kwamba Kenya itapewa hadhi ya kuwa "mshirika mkuu asiye mwanachama wa NATO" (Major Non-NATO Ally). https://vm.tiktok.com/ZMr1wacyA/...
2 Reactions
0 Replies
330 Views
Orodha isiyo rasmi ya Marais wa Kiafrika wanaoongoza Kufanya Safari nyingi za Nje ya Mataifa Yao. 1. William Ruto-Kenya 2. Bola Tinubu-Nigeria 3 .Samia S.Hassan-Tanzania 4. Paul Kagame-Rwanda 5...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kijeshi askari anapo kuwa mbele ya mkubwa wake akiwa anaongea anakua anapaswa kukaa mguu pande na mikono huwa nyuma kuonesha utii wake kwa kiongozi wake huyo. Kama ilivyo picha huwa na lugha...
10 Reactions
88 Replies
4K Views
President William Ruto has stated that his US travel expenses were significantly lower than those incurred if he had used a Kenya Airways (KQ) plane. "As a responsible steward of public...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO Ili kukabiliana na Ushawishi wa Russia na China Barani Afrika na hususani Afrika...
15 Reactions
151 Replies
7K Views
Serikali ya Marekani yasema haijaidhinisha safari ya Anasa ya Rais Rutto nchini humo Msemaji wa Marekani mh Andrew amesema " kwa kweli Marekani haijalipia ndege ya kukodi ya Rutto kwenda Marekani...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Kenya ikiwa inaongoza kwa kua na uhuru wa Kujieleza na maoni .Haya mambo huwezi kuyasikia nchi kama Rwanda hata kidogo!! Hata kwene social media raia wa rwanda hawawezi kumkosoa Godfather hata...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Bora tu imetokea kwa Mkenya! Ingelikuwa ni Mtanzania angekiona cha moto kwa mashambulizi ambayo angeyapata mitandaoni😄😄😄 Kiingereza si tatizo kwa wasomi wa Kenya, Rais Ruto akiwemo. Lakini awamu...
16 Reactions
60 Replies
4K Views
Nairobi, 23 May 2024: Amnesty International Kenya and ARTICLE 19 Eastern Africa express deep concern with Clause 63 of the Finance Bill (2024), which seeks to exempt the Kenya Revenue Authority...
0 Reactions
0 Replies
610 Views
WELCOME TO KENYA WHERE:- 1. Girls handbags carry everything necessary for sleepover except their fare back home 2. When you are served little chips in a restaurant, you drink their Tomato Sauce...
2 Reactions
1 Replies
618 Views
Rais Rutto amesema kwa sababu ni nadra sana viongozi wa Africa Mashariki kukutana na Rais wawapo Marekani basi Rais Biden aelewe kukutana kwao ni kwa manufaa ya Marekani na Africa Mashariki Biden...
2 Reactions
6 Replies
776 Views
Wadau hamjamboni nyote? Ndiyo ana miaka 90 sasa, Ngina Muhoho almaarufu Mama Ngina ni mke wa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Kenya Hayati Jommo Kenyatta & Mama wa Rais wa nne wa nchi hiyo Uhuru...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
In the sunset years of Mzee Jomo Kenyatta’s presidency,James Erastus Mungai was the all-powerful Police Commandant in charge of the Rift Valley Province Not only was he from the then president’s...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa taarifa ya Madeni iliyopo katika tovuti ya Shirika la Fedha Duniani (IMF), imeonesha takriban nchi 47 kutoka Afrika zimeendelea kuwa na Madeni katika taasisi hiyo ya Fedha ambapo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais Rutto amesema wamefanikiwa kuirejesha Uganda kwenye Bandari ya Mombasa baada ya mgogoro uliokuwepo kupatiwa ufumbuzi Ruto amesema mgogoro huo ulisababisha Uganda ifikirie kutumia Bandari za...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Binti ya Hayati Rais John Pombe Magufuli, Jessica Magufuli, akiwa ni mwenye furaha baada ya kupanda matatu yenye graffiti za sura ya marehemu babake Jijini Nairobi. Matatu ni neno la mtaa lenye...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Naibu Rais wa Kenya Bwana Gachagua amekosolewa Vikali Kwa kuanzisha na kirahisi kuipigia chapuo sera ya ubaguzi wa kiuchumi aliyooiita Kwa jina la One Man,One Vote,One Shiling. Wabunge kutoka...
1 Reactions
3 Replies
671 Views
Ni muda wa kurudia misingi ya zamani. Ardhi kubwa yenye rutuba ipo.
0 Reactions
1 Replies
597 Views
Back
Top Bottom