Hongera Mama Ngina Kenyatta pamoja na umri wa miaka 90 bado uko tabasamu afya njema sana

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,553
5,235
Wadau hamjamboni nyote?

Ndiyo ana miaka 90 sasa

Ngina Muhoho almaarufu Mama Ngina ni mke wa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Kenya Hayati Jommo Kenyatta & Mama wa Rais wa nne wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta

Mama Ngina alizaliwa 24 June 1933 hivyo kwa sasa anao umri wa miaka 90

Nini Siri ya mafanikio hayo makubwa kiafya kwa mama yetu na lipi tunajifunza kutoka kutoka kwake?

Mungu azidi kukujaalia maisha marefu zaidi
 
Attachments

 • mama-ngina-pic.jpg
  mama-ngina-pic.jpg
  115.5 KB · Views: 10
 • ngina-kenyatta.jpg
  ngina-kenyatta.jpg
  315.5 KB · Views: 9
 • 1716379620961.jpg
  1716379620961.jpg
  215 KB · Views: 10
Ila alijua kuninyorosea Danil Arap Moi...😜
R.i.P Classmate...😥
Ila Kanda Bongo Man nayeye alizidi aloooo....🤣
 
Wadau hamjamboni nyote?

Ndiyo ana miaka 90 sasa

Ngina Muhoho almaarufu Mama Ngina ni mke wa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Kenya Hayati Jommo Kenyatta & Mama wa Rais wa tatu wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta

Mama Ngina alizaliwa 24 June 1933 hivyo kwa sasa anao umri wa miaka 90

Nini Siri ya mafanikio hayo makubwa kiafya kwa mama yetu na lipi tunajifunza kutoka kutoka kwake?

Mungu azidi kukujaalia maisha marefu zaidi
Uhuru Rais wa Nne Mkuu.
 
Uhuru Rais wa Nne Mkuu.
Na mama yake mzazi wa Uhuru Kenyatta ni mke wa nne Marehemu Mzee Kenyatta what a coincidence na namba nne

Ngina Kenyatta ni bi mdogo nyumba ndogo ya marehemu Mzee Kenyatta sio mke wa kwanza mke wa kwanza ni Grace Wahu wa pili Edna Clarke mzungu wa Tatu Grace Wanjiru wa nne ndie huyo Ngina Kenyatta mama yake Uhuru Kenyatta
 
Na mama yake mzazi wa Uhuru Kenyatta ni mke wa nne Marehemu Mzee Kenyatta what a coincidence na namba nne

Ngina Kenyatta ni bi mdogo nyumba ndogo ya marehemu Mzee Kenyatta sio mke wa kwanza mke wa kwanza ni Grace Wahi wa pili Edna Clarke mzungu wa Tatu Grace Wanjiru wa nne ndie huyo Ngina Kenyatta mama yake Uhuru Kenyatta
Sijaandika kuwa Mama Ngina ni mke wa kwanza
 
mwanawe analiwa kichwa sasa hivi btw. ana undugu na mchungaji Rwakatare (RIP) ?
 
Na mama yake mzazi wa Uhuru Kenyatta ni mke wa nne Marehemu Mzee Kenyatta what a coincidence na namba nne

Ngina Kenyatta ni bi mdogo nyumba ndogo ya marehemu Mzee Kenyatta sio mke wa kwanza mke wa kwanza ni Grace Wahu wa pili Edna Clarke mzungu wa Tatu Grace Wanjiru wa nne ndie huyo Ngina Kenyatta mama yake Uhuru Kenyatta
Mzee Jommo Kenyatta aliyezaliwa mwaka 1894 alimuoa Mama Ngina kama mke wa NNE mwaka 1952 ambapo Mzee Kenyatta alikuwa na kama miaka 58 na Mama Ngina alikuwa na kama miaka 19. Inasemekana kiuhalisia tofauti ya umri kati ya Mzee Kenyatta na Mama Ndina ni kama miaka 40. Mzee Kenyatta alifariki mwaka 1978 akiwa na kama miaka 84 na wakati na wakati huo Mama ngina alikuwa na kama miaka 45
 
Back
Top Bottom