Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Najua Chadema kwa sasa harakati zenu zinatumia Maandamo kama njia ya kuishinikiza serikali Fuatilieni kinachoendelea Kenya kuanzia muda huu mtajifunza mambo mbalimbali Ahsanteni 🐼
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Nakumbuka zili zuka habari na minong'ono mingi ya mabwana hawa wawili. Ghafla waka pewa cheo cha Uaskari, mara tafrija zisizo eleweka. Skendo za raisi wa kipindi kile, sijui mwanae au mkewe naye...
1 Reactions
5 Replies
524 Views
Hawa Watoto wa Gen Z ni hatari kwa kweli yaani hawaogopi kabisa polisi Wamezingira Kanisa huku Rais Ruto akiwa humo ndani anaabudu Inatisha sana, kibongobongo tungesema hawa Watoto wetu Wana...
3 Reactions
14 Replies
704 Views
UPDATE: KENYA: Wananchi kutoka maeneo mbalimbali nchini humo wameingia Mitaani kupitia Maandamano ya kupinga Muswada wa Sheria ya Fedha unaolamilikiwa wakidai una vifungu vyenye Kodi kandamizi...
5 Reactions
53 Replies
6K Views
Kiongozi wa Walio wengi Bungeni mh Kimani ameyaponda maandamano ya vijana wa Gen Z na kudai hayajabalisha chochote Kimani amesema walioandamana siyo Wawakilishi halisi wa wakenya Kwani ni watoto...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Kenya Airways has introduced three non-stop flights from its hub at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) to Cape Town, South Africa. Initially, the airline operated seven weekly flights...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Well…well…well! It’s deja vu all over again 🤣. This time it didn’t take that long [although some of us expected it to come to pass at some point]. Majirani zetu wameshaanza kufanyiana figisu...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Wakati nikiutafakari umasikini wa Mwafrika na vipi tutajikwamua kutoka hapa tulipo nakutana na mauzauza ya wananchi wakenya wanao andamana kisa ongezeko la kodi katika bidhaa mbalimbali. Nimekaa...
2 Reactions
16 Replies
854 Views
Binadamu ni akili inayoishi ndani ya mwili! Na akili inahitaji elimu bora ili kuikomaza vizuri. Siasa na serikali ni mifumo ya kijanja janja sana. Inahitajika akili iliyokomaa kuweza kukabiliana...
1 Reactions
10 Replies
892 Views
Mchekeshaji na Mwanaharakati Eric Omondi amekamatwa dakika chache zilizopita nje ya Bunge la Kitaifa, akipinga mswada wa fedha 2024 ulioshuhudia maandamano makubwa jana. Omondi alifika nje ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Siku moja tu baada ya maandamano ya kupinga mswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2024, vijana kupitia mitandao ya kijamii wametangaza hatua inayofuata sass, leo Ijumaa ikiwa ni kuzuru hifadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
438 Views
https://www.youtube.com/watch?v=HBNa9fVrapk Waandamanaji wanaendelea kuandamana kwa kuwasha moto katika Barabara ya kuelekea mzunguko wa Holy Basilica, karibu na Majengo ya Bunge. Licha ya...
1 Reactions
1 Replies
670 Views
NAIROBI: Kijana Mkenya ahimiza wenzake kuendelea kuandamana, wakati akisubiri kupelekwa hospitali na ambulensi, mara tu baada ya kuumia. Pia, soma: LIVE: Yanayojiri Maandamano Kenya kupinga Mswada...
0 Reactions
3 Replies
701 Views
Ingawa wakati mwingine Watanzania na Wakenya hushambuliana kwenye mitandao ya kijamii, haimaanishi kuwa ni maadui. Utani wao ni kama ugomvi wa watoto wanaofuatana kuzaliwa. Linapokuja suala la...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Rais wa Nchi Jirani amefurahishwa na kitendo cha Wananchi Kujadili Ongezeko la Deni la Taifa na Kodi Rais huyo amesema hiyo inaonyesha jinsi Wananchi Wanavyojitambua na Ukomavu wa Demokrasia...
6 Reactions
13 Replies
524 Views
Kanuni ni zile zile kwenye uchumi na hata kwenye maisha ya kawaida. Ili ujenge uchumi wako mfukoni unahitaji kukusanya mapato, kubajeti matumizi na kidhibiti upotevu na matumizi holela ya Fedha...
2 Reactions
17 Replies
922 Views
Kenya yajitutumua , Ethiopia yasimama, Tanzania yangangana. Afrika Mashariki yapaa. https://www.youtube.com/watch?v=PbplBoFAX14
1 Reactions
4 Replies
670 Views
Waziri wa Fedha wa Kenya amenusurika kupigwa na Mmachinga ( juakali) mara Baada ya kumaliza kusoma Bajeti na Kutoka nje ya Bunge kupiga picha na Wasaidizi wake Police walifanikiwa kumkamata...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Tanzania tuna jambo la kujifunza namna ya kuibana serikali iachane na kodi kandamizi zinazopelekea maisha kuwa magumu. Baadhi ya maeneo ambayo kenya wamekuwa wakali ni kodi kwenye mafuta ya kula...
1 Reactions
5 Replies
591 Views
Shirika la reli linalosimamia usafiri wa mfumo mpya wa SGR linatazamia kuongeza treni baada ya wasafiri kuwa wengi hadi kupitikiza walizokua wametoa mwanzo. Ina maana kwamba Wakenya wamepokea huu...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Back
Top Bottom