johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 86,430
- 147,133
Rais Rutto amesema kwa sababu ni nadra sana viongozi wa Africa Mashariki kukutana na Rais wawapo Marekani basi Rais Biden aelewe kukutana kwao ni kwa manufaa ya Marekani na Africa Mashariki
Biden naye kampongeza kwa Kutokuwa mbinafsi
Credit: BBC
Tanzania tumewakilishwa 😃🌹
Biden naye kampongeza kwa Kutokuwa mbinafsi
Credit: BBC
Tanzania tumewakilishwa 😃🌹