Rais Ruto kuweka mikono nyuma ni ishara ya utii kwa Marekani

D_ullah

Member
Jul 21, 2022
39
51
IMG_4484.jpg

Kijeshi askari anapo kuwa mbele ya mkubwa wake akiwa anaongea anakua anapaswa kukaa mguu pande na mikono huwa nyuma kuonesha utii wake kwa kiongozi wake huyo.

Kama ilivyo picha huwa na lugha ndani yake, Rais wa Kenya Ruto, kwa alivyo simama inaonesha kabisa kuwa ana Itii marekani ikimaanisha ameenda kupokea maagizo na maelekezo kwa ajili ya kuyatekeleza.

Ni lini Afrika tutakuwa na nguvu mbele ya hawa madhalimu wanao tunyanyasa tangu na tangu.
 
Ukweli lazima tukubali, Ruto kawakilisha maana coverage yake amepewa na media zote kubwa tena Live na sio viongozi wote wanapewa hii coverage hata wengine baadhi ya nchi za ulaya. Sasa kwanini Kenya/Ruto sina uhakika ila lazima kuna maslahi makubwa baina ya Kenya na USA.
 
View attachment 2998929
Kijeshi askari anapo kuwa mbele ya mkubwa wake akiwa anaongea anakua anapaswa kukaa mguu pande na mikono huwa nyuma kuonesha utii wake kwa kiongozi wake huyo.

Kama ilivyo picha huwa na lugha ndani yake, Rais wa Kenya Ruto, kwa alivyo simama inaonesha kabisa kuwa ana Itii marekani ikimaanisha ameenda kupokea maagizo na maelekezo kwa ajili ya kuyatekeleza.

Ni lini Afrika tutakuwa na nguvu mbele ya hawa madhalimu wanao tunyanyasa tangu na tangu.
😅😅😅😅😅😅😅😅😅
 
Ni ule utamaduni wa kitumwa bado inamzunguka mwafrika umekosekana mjeledi tu wa kumswaga kama ng'ombe!
 
Back
Top Bottom