stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 811
- 1,753
*Urefu wa nyumba wakati wa ujenzi - Orodha:
vipimo vyako visipungue hivyo
nimeandika kwa experience yangu
1. Sebule - 4m x 5m au 4.5m x 5m
2. Chumba master - 4m x 4m au 4m x 3.5m
3. Vyumba vya kawaida - 3m x 3.5m. Chini ya 3m x 3m kinabana
4. Jiko - 3m x 4m
5. Bafu/Choo - 1.8m x 2.5m
6. Ukumbi - Upana 1.2m hadi 1.5m
7. Urefu wa kuta - 3m hadi 3.5m kutoka sakafu. Chini ya 2.8m epuka
8. Mapigo ya paa - Isipungue 30cm ili mvua isigonge ukuta
9. Mwinuko wa paa - Nyuzi 20-25 kwa bati
10. Urefu wa bati - Tumia 3m au 3.6m lifike bila kuunganisha katikati
11. Mlango - Upana 90cm, urefu 2.1m
12. Setback - Acha 1.5m pembeni, 3m mbele na nyuma kutoka mpaka wa kiwanja
13. Nyumba ya vyumba 2 - Urefu jumla 8m - 10m
14. Nyumba ya vyumba 3 - Urefu jumla 10m - 14m
15. Nyumba ya vyumba 4 - Urefu jumla 14m - 18m
kama unataka kuchorewa raman ya nyumba na ujenzi 0 7 4 3 2 5 7 6 6 9