Kitchen cabinet za kisasa kwa bei chee

Kitchen cabinet za kisasa kwa bei chee

Big dady 11

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2023
Posts
278
Reaction score
279
kitchen cabinets za kisasa kwa bei chee..
maboss zangu ata ukiwa bado ujahamia tutakutengenezea kisha kuvifunga lailon ili kuzuia vumbi na michubuko ad utapako hamia unakuta kitchen cabinet yako bado mpyaaaaaa inang'aa🔥🔥..
gharama inategemea na ukubwa wa sehem yako ya kabati pia Aina ya material yatakayotumika boss..
karibuni sana tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya kaz..
0692477610
 
Attachments

  • IMG-20260321-WA0024 (1).jpg
    IMG-20260321-WA0024 (1).jpg
    649.8 KB · Views: 28
  • IMG-20260321-WA0032 (1).jpg
    IMG-20260321-WA0032 (1).jpg
    651.7 KB · Views: 28
  • IMG-20260321-WA0030 (1).jpg
    IMG-20260321-WA0030 (1).jpg
    522.3 KB · Views: 27
Watanzania wanapenda neno KISASA.Utasikia kajenga nyumba ya kisasa wakati tech ni ile ile cement na mchanga na nondo. Au ya kisasa wanamaanisha mpya?
Itakua wanasimamia hapo kwenye upya.🤣
 
kitchen cabinets za kisasa kwa bei chee..
maboss zangu ata ukiwa bado ujahamia tutakutengenezea kisha kuvifunga lailon ili kuzuia vumbi na michubuko ad utapako hamia unakuta kitchen cabinet yako bado mpyaaaaaa inang'aa🔥🔥..
gharama inategemea na ukubwa wa sehem yako ya kabati pia Aina ya material yatakayotumika boss..
karibuni sana tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya kaz..
0692477610
Ni hizo nylons ulizoweka ndizo zinafanya uuze 17Mil au??
 
Back
Top Bottom