Habari leo nimekuletea raman ya nyumba ya vyumba 3 vya kulala
ina vitu Vifuatavyo
master bedroom
vyumba 2 vya kulala visivyo na vyoo
seble
jiko
store
baraza ya mbele
baraza ya nyuma
na choo...
Raman za nyumba zinazokubalika na Halmashauri/Mamlaka ya Mji lazima ziwe na vitu hivi:
1. Taarifa za Msingi - Title Block
Jina la mradi - Mf: Nyumba ya Makazi ya Bw. Juma Ally
Mmiliki - Jina...
Achana na maneno ya watu wanaoponda kuhusu biashara ya nyumba za kupangisha. Wengi wanaoponda hawafanyi biashara hio. Kama unaweza jenga mdogo wangu. Fanya Kama unasevu hela utakuja kunishukuru...
Karibuni tena katika makala yetu yenye kuangazia kuhusu masuala ya Ujenzi.
Nipo kikazi katika mkoa wa Dodoma, leo nitapenda niangazie mambo kadhaa ya Ujenzi niliyo yaona Dodoma.
1. UPATIKANAJI WA...
⚠️ MAKOSA 8 YA UJENZI YANAYOONGEZA GHARAMA — EPUKA KABLA HAUJAJUTA!
(Elimu ya Ujenzi wa Kitaalamu) 🏗️
Unapopanga kujenga nyumba — epuka maamuzi ya haraka.
Makosa madogo ya awali yanaweza...
🏗️ FURSA YA UJENZI & CONNECTIONS TANZANIA NZIMA! 🇹🇿
Je, wewe ni Fundi stadi, Muuzaji wa vifaa, au Mwenye nyumba unayetafuta huduma bora? Huu ndio mchongo wako!
Tumeanzisha Group la UJENZI &...
Karibu Sana ofisini kwetu ujipatie Mabati bora na ya kisasa kutoka Sunbank.
Tupo na aina zifuatazo za Mabati
1. Gloss ( Mtelezo )
2. Rich tile
3.Ridge /Valley
4. Matte (Chenga chenga )...
*Urefu wa nyumba wakati wa ujenzi - Orodha:
vipimo vyako visipungue hivyo
nimeandika kwa experience yangu
1. Sebule - 4m x 5m au 4.5m x 5m
2. Chumba master - 4m x 4m au 4m x 3.5m
3...
SEHEMU YA KWANZA
A. Maji ndiyo kitu namba moja kinachoongoza katika uharibifu na kudhorotesha uimara wa jengo.
Basi leo nitaangazia juu ya uzuizi wa maji kuweza kuharibu jengo alimaarufu kama...
Habari. Nina nyumba ina vyumba vitatu vta kulala, dining, siting room na public toilet. Nahitaji fundi anayeweza Kuikarabati iwe ya kisasa kidogo maana lengo langu ni kupata master na jiko moja...
Hebu angalia hapo chini gharama ya ujenzi Kenya ukilinganisha na jengo bei haiendani kabisa.
Huyu ni injinia wa majengo lakini bei yake rahisi sana.
Ghorofa hili eti anakujengea hadi finishing...
Mafundi ujenzi wanahitaji kuwa na ujuzi wa vitendo, maarifa ya kina na mbinu za ubunifu za kufanya kazi. Hii ni kwa sababu taaluma yao inahusiana moja kwa moja na usalama wa majengo, madaraja na...
Habari zenu wanaJF
Kama kichwa cha habari, naombeni mwenye used au mipya milango na frame zake kama naweza kupata kwa bei nafuu, nipo Dar ES SALAAM mbezi kavu au kibamba.
Asanteni
Karibuni wakuu kwa mawazo yenu
Msingi ni wa mawe.
Ukuta ni 6ft
Hapo ni bila kuchapia cement baada ya ujenzi (cement skimming)
Hio 1.5m ya msingi ni kuchimba msingi na labour charges zake...
Jamani wandugu hivi ni kwanini unaweza kujenga nyumba ya kuishi ikawa iko tayari kwa matumizi au nyumba ulikuwa unaishi halafu ukaondoka kwa muda mrefu bila mtu kuishi kwenye ile nyumba huwa ina...
Salama wakuu.
Naombeni idea ya rangi nzuri ya kupaka ndani ya nyumba.
Nimejaribu kuperuzi rangi nyingi mbali mbali nimeshindwa kufika muafaka.
Ni rangi gani nzuri ikipakwa ndani panakaa murua...
Wadau nimeona kuweka mlango wa mbao na grill kwa milango ya nje kwenye nyumba ya kuishi haipendezi kama kuweka milango ya chuma hasa ya Uturuki na China.
Naona kujua ni milango ipi imara ya chuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.