Nahitaji kujua utofauti wa hizi rangi ambazo ni vinyl superlux matt emulsion, na silk ambazo sio matt, hizo za kwanza ni zile za kuchanganya na mashine au ni zipi, na matumizi,
Wadau naombeni kujua gharama ya kutumia megapanels kujengea ukuta na pamoja na roofing.
Je, ujenzi huu wa kutumia mega panels na ule wa kutumia tofali na bati, upi ni nafuu?. Pia naomba kujua bei...
Wakuu habari zenu,
Nipo kwenye changamoto na jirani yangu hapa anayetaka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu. Upande mmoja na cha kushangaza analazimisha na Ujenzi umeshafikia level ya...
Wakuu nisiwachoshe, kama picha inavoonyesha hapa, nimejenga mfumo huu wa nyumba.
Nifanye nini kuzuia maji kupenya ukutani na kuolowesha hadi ukuta wa ndani? kama kuna nyenzo naweza kutumia...
Ndugu zangu wanajamii forums nielimisheni:
Hapo kwetu Bagamoyo kuna ramani mbili; moja ni mpango mjini yaani kwa Chingereza wameniambia wanaita TP. Nyingine wanaita kitu kama saveyi.
Vyote hivi...
Wakuu Nina ka ujenzi kanaendelea nimefikia hatua ya kupaua nimeona hii kampuni imefungua ofisi hapa mwanza karibu na site yangu na bei zao sio mbaya wasiwasi wangu ni ubora je kuna mtu anauzoefu...
Ukienda nchi za Ulaya na Marekani, nyumba zimepangwa eneo la wazi na hakuna uzio wa ukuta wala machuma.
Nyumba zenyewe za mbao, wanaishi kirahisi sana.
Ukija Tanganyika, nyumba zimejengwa kwa...
Kumekuwa na nguvu kubwa na kutangaza mkeka mbao na marble sheet. Wataalamu wanaojua mambo, ningependa kujua uimara wa hizo bidhaa mpya ambazo mimi nazifananisha na plastiki tu, kama zile kapeti.
Habari wana jamvi..
Hivi karibuni nategemea kufanya wiring kwenye mji wangu, lakini kuna mdau alinipa taarifa kuhusu vifaa vya tronics, kuwa kwa sasa tronic inazlishwa na mchina hivyo uhakika wa...
Ni cement inayonishangaza kidogo; ukiwa unaitumia mfano kama mchanga ni mweupe basi ukitumia mchanga unakuwa mweusi na ukitia maji unakua kama una mafuta au oil ivi, yani ipo tofauti na cement...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Eng. Mohamed Besta kufanya tathmini ya eneo la Mtanana katika barabara kuu ya Morogoro – Dodoma...
Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kujenga na kupanua Miundombinu ya Viwanja vya Ndege ili kujihakikishia utoaji wa huduma ndani ya nchi na nchi Jirani
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri...
Hii inamhusu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Mheshimiwa watu wako wataangamia kwa kukosa maarifa!
Kuna watu wanafanya biashara ya kutengeneza na kuuzwa matofali kila mahali. Ni...
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi inaandaa Mpango Mkuu (Master Plan) wa Miundombinu ya nchi kulingana na mahitaji ya kiuchumi na kijamii itakayowezesha kurahisisha usafiri na usafrishaji kulingana...
Habari wakuu.
Nimekua nikiona members humu wakiulizia kuhusu idadi ya material kwa nyumba.
Sasa kwa ufupi ukitaka kupiga hesabu kwa uhakika unatakiwa kujua
1. urefu (running meter) wa nyumba...
Habari wakuu.
Nimeona kuna post za members kutaka kujua idadi ya material ya nyumba. Sasa Ili kuanza ujenzi unatakiwa kuwa angalau na idadi ya material ya kuanza kujenga mpaka kupaua. Kisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.