Ujenzi: Chumba, sebule na choo cha public

Chumba, sebule na toilet ni 4.5M
Vyumba viwili, Sebule, Jiko, 2 toilets ni 13M.
Ni gharama ya materials yote Kujenga na Kupaua, Shimo la Choo la ukubwa wa wastani, Kifusi, na gharama za Ufundi.
Ukitaka mchanganuo fungua wallet.
Naongea kama FUNDI.
Swali je chumba kimoja ndani nasebule na choo halafu nje iwe chumba sebule na choo how much manaa mtu kaniambia finish ya hivyo ni 1 ml sasa wè 4.5m unajenga nini??
 
Swali je chumba kimoja ndani nasebule na choo halafu nje iwe chumba sebule na choo how much manaa mtu kaniambia finish ya hivyo ni 1 ml sasa wè 4.5m unajenga nini??
Swali lako halijakaa sawa!!
Anaway, nilichomaanisha ni kwamba 4.5M inatosha kupata tofali, cement, mchanga, nondo, bati, mbao na hela ya ufundi kwa chumba kimoja, sebule na choo, plus shimo la choo lenye ukubwa wa wastani.
Ni kujenga na kupaua tu.
 
Nahitaji ramani ya 2 apartments under 1 roof
Kila apartment itakuwa na room 2 self + dinning+ living room+ kitchen+ a public toilet
: Roofing= Bati la kuficha
 
Chumba, sebule na toilet ni 4.5M
Vyumba viwili, Sebule, Jiko, 2 toilets ni 13M.
Ni gharama ya materials yote Kujenga na Kupaua, Shimo la Choo la ukubwa wa wastani, Kifusi, na gharama za Ufundi.
Ukitaka mchanganuo fungua wallet.
Naongea kama FUNDI.
Mfano mtu kashajenga msingi kajaza kifusi vyumba 3, nyumba ya urefu 15 upana 11 , master urefu 4.5m kwa 4.1m, vyumba viwili kila kimoja 3.2m kwa 3.3m, stoo 1.5m kwa 1.2m, lounge 5m kwa 4m, dinning 3.1m kwa 3m, kitchen 3.1m kwa 3m kunyanyua boma hadi kupaua inazidi 35m? Maana kuna hesabu nilipigiwa na fundi najipanga hadi July ninyanyue hadi kuezeka sizielewi au hadi upewe ramani? Natanguliza shukrani
 
Swali lako halijakaa sawa!!
Anaway, nilichomaanisha ni kwamba 4.5M inatosha kupata tofali, cement, mchanga, nondo, bati, mbao na hela ya ufundi kwa chumba kimoja, sebule na choo, plus shimo la choo lenye ukubwa wa wastani.
Ni kujenga na kupaua tu.
Kwa hiyo nikitaka kujenga chumba kimoja self gharama zitakua chini ya hapo?Bila shimo la Choo,chumba Tu.
 
Back
Top Bottom