Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa...
0 Reactions
1 Replies
338 Views
Wakuu naomba kujua sebule yenye vipimo hivo inaingia tiles box ngapi? Na nahitaji tiles ambazo ni affordable kwa mlala hoi lakin imara urembo SIO kipaumbele, vilevile gharama za ujenzi zote pamoja...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Great thinkers. Mwenyeji au anaeyelewa usalama na hatari zilizopo hapo atujuze. Bongo hii pamejaa makanjanja wengi sana. Ili kuepuka kupigwa kwenye ununuzi wa aridhi tufumbueni macho...
0 Reactions
7 Replies
713 Views
Waziri Mhagama Akagua Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama Februari 22, 2025 amefanya ziara ya kukagua miundombinu pamoja na huduma...
0 Reactions
5 Replies
630 Views
Wanaosema kujenga ni kuzika pesa utawakuta wanatoa mifano ya kina Bakhresa, Mo Dewji hivi kwa akili yako kuna tajiri hana nyumba? Hivi unasemaje kujenga ni kuzika pesa wakati bei ya nyumba...
39 Reactions
274 Replies
32K Views
Salaam.... Ni vijana wengi sana wamepanga lakini wanakaa vijistoo yaani wanashindwa kupanga vyumba vya hadhi yao au nyumba nzima. Kwa mimi binafsi yangu napendekeza kijana atoke kukaa kwenye...
8 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama mada inavojieleza, kijana anaeanza kujipata jijini Arusha, ni mitaa gani rafiki kuanzia maisha na kujenga kabisa Urafiki ninaoongelea namaanisha upatikanaji wa viwanja, huduma za kijamii, na...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
TUENDELEE KUKUMBUSHANA - UJENZI WA SEKONDARI MPYA VIJIJINI MWETU Jimbo la Musoma Vijijini lenye jumla ya Kata 21 lina: *Sekondari 26 za Kata/Serikali *Sekondari 2 za Madhehebu ya Dini I -...
0 Reactions
1 Replies
376 Views
TANROADS YAPOKEA TUZO YA KIMATAIFA KUTOKANA NA MCHANGO WAKE WA KUBORESHA USALAMA WA BARABARA (SAFER ROAD) Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
3 Replies
378 Views
BARABARA NJIA NNE NA SITA KUJENGWA JIJINI DODOMA Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), imepanga kupanua Barabara za kuingia na kutoka katikati ya jiji la Dodoma zenye jumla ya...
1 Reactions
1 Replies
500 Views
Ni kiasi gani niwe nacho kuweza kujenga ghorofa kumi structure tu bila finishing? Kwa wataalamu natanguliza shukran nyingi sana Eneo temeke wailes Ukubwa 500 sqm Tambarare
4 Reactions
66 Replies
3K Views
Nyumba yenye vipimo vya futi urefu 35 na upana wa ft 24 itatumia bati ngapi za ft 10
1 Reactions
2 Replies
747 Views
Karibu nikujengee ngazi nzuri 0624254690
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Habari ya wakati huu ndugu zangu wa Jua na Ac. Kama kawadi hapa dalali wa mjini nipo live. Jirani yangu ni fundi ujezi wa nyumba ambaye taaluma Yake alisomea chuo cha ufundi veta miaka mingi...
3 Reactions
44 Replies
2K Views
UJENZI OFISI MPYA YA MKUU WA WILAYA CHUNYA KUPANGIWA BAJETI 2025/26 Naibu Waziri, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Dkt. Festo Dugange amemuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kuweka kwenye bajeti ya...
0 Reactions
0 Replies
441 Views
Naombeni msaada ndugu zangu wa Mafundi wazuri wanaoweza kazi kwa bei nafuuu kabisa. Nyumba imeisha ila bado blandering, nyumba imepigwa plasta nnje na ndani ila bado haijafanyiwa skiming wala...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
TARURA ARUSHA YAAGIZWA KUHARAKISHA UJENZI DARAJA LA OLTUKAI-MONDULI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais- TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amemuelekeza Meneja wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
Katika harakati za kumjengea mteja wetu ghorofa lake hapa Tabata Chang'ombe Dar es Salaam wkt tuna chimba msingi tukakutana na chungu kidogo kizuri kikiwa kimevalishwa shanga nyeupe nzuri. Vijana...
3 Reactions
3 Replies
518 Views
Nimekuletea sample specific za ramani za nyumba za Tofali (~2000) na Bati (~60) Chache Gharama zilizooneshwa hapo ni wastani wa za kujenga Msingi, kuta, plasta na paa (vifaa + ufundi) Zipo...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom