Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Ukiachilia uwepo wa Mafundi, na matilio kama mchanga, kokoto, sumeti na uwepo wa fedha!?
3 Reactions
23 Replies
982 Views
Hapa nitaelezea Sababu za msingi zinazosababisha majengo yanayofanana kujengwa kwa gharama tofauti. Tuzungumzie mchoro wa nyumba ya vyumba vitatu vya Kulala kimoja kati ya hivyo ni master...
72 Reactions
574 Replies
116K Views
Hi Great Thinkers. NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya...
0 Reactions
9 Replies
746 Views
TUNATOA HUDUMA ZA ujenzi wa namna yoyote kama ilivyo kwenye tangazo. Pia tunatengeneza garden za KISASA kwa gharama nafuu Sana. Piga namba 0714693107 au 0764068964 Tukuhudumie
0 Reactions
0 Replies
266 Views
WAGONJWA 6,847 WATIBIWA HOSPITALI YA WILAYA HANDENI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema wagonjwa wapatao 6,846 wamepata huduma za...
0 Reactions
1 Replies
247 Views
Hivi vigoda/stuli ni very special. Hakuna msumari hata mmoja uliotumika na bei yake ni kichaa.. Na wengi huvitumia kama urembo na si matumizi halisi ya kukalia.. Hivi havipigwi polishi bali...
5 Reactions
61 Replies
2K Views
NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa...
0 Reactions
1 Replies
338 Views
Wakuu naomba kujua sebule yenye vipimo hivo inaingia tiles box ngapi? Na nahitaji tiles ambazo ni affordable kwa mlala hoi lakin imara urembo SIO kipaumbele, vilevile gharama za ujenzi zote pamoja...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Great thinkers. Mwenyeji au anaeyelewa usalama na hatari zilizopo hapo atujuze. Bongo hii pamejaa makanjanja wengi sana. Ili kuepuka kupigwa kwenye ununuzi wa aridhi tufumbueni macho...
0 Reactions
7 Replies
710 Views
Waziri Mhagama Akagua Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama Februari 22, 2025 amefanya ziara ya kukagua miundombinu pamoja na huduma...
0 Reactions
5 Replies
630 Views
Wanaosema kujenga ni kuzika pesa utawakuta wanatoa mifano ya kina Bakhresa, Mo Dewji hivi kwa akili yako kuna tajiri hana nyumba? Hivi unasemaje kujenga ni kuzika pesa wakati bei ya nyumba...
39 Reactions
274 Replies
32K Views
Salaam.... Ni vijana wengi sana wamepanga lakini wanakaa vijistoo yaani wanashindwa kupanga vyumba vya hadhi yao au nyumba nzima. Kwa mimi binafsi yangu napendekeza kijana atoke kukaa kwenye...
8 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama mada inavojieleza, kijana anaeanza kujipata jijini Arusha, ni mitaa gani rafiki kuanzia maisha na kujenga kabisa Urafiki ninaoongelea namaanisha upatikanaji wa viwanja, huduma za kijamii, na...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
TUENDELEE KUKUMBUSHANA - UJENZI WA SEKONDARI MPYA VIJIJINI MWETU Jimbo la Musoma Vijijini lenye jumla ya Kata 21 lina: *Sekondari 26 za Kata/Serikali *Sekondari 2 za Madhehebu ya Dini I -...
0 Reactions
1 Replies
376 Views
TANROADS YAPOKEA TUZO YA KIMATAIFA KUTOKANA NA MCHANGO WAKE WA KUBORESHA USALAMA WA BARABARA (SAFER ROAD) Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
3 Replies
378 Views
BARABARA NJIA NNE NA SITA KUJENGWA JIJINI DODOMA Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), imepanga kupanua Barabara za kuingia na kutoka katikati ya jiji la Dodoma zenye jumla ya...
1 Reactions
1 Replies
500 Views
Ni kiasi gani niwe nacho kuweza kujenga ghorofa kumi structure tu bila finishing? Kwa wataalamu natanguliza shukran nyingi sana Eneo temeke wailes Ukubwa 500 sqm Tambarare
4 Reactions
66 Replies
3K Views
Nyumba yenye vipimo vya futi urefu 35 na upana wa ft 24 itatumia bati ngapi za ft 10
1 Reactions
2 Replies
740 Views
Karibu nikujengee ngazi nzuri 0624254690
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Back
Top Bottom