Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Habari naomba nipate wauzaji wa material ya terrazzo floor
0 Reactions
1 Replies
386 Views
Never forget the ring beam. Never skip it either.no matter how broken. It's like a belt in your trousers 👖 or the elastic in your underwear 🤔. With them (it) things will fall apart. Your house is...
1 Reactions
2 Replies
470 Views
RC LINDI, TELACK: MIRADI YA ELIMU IKAMILIKE KWA UBORA UNAOTAKIWA Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mh. Zainab Telack amewataka Halmashauri ya Mtama kuhakikisha wanawasimamaia fedha za miradi ya ujenzi wa...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Habari wanajukwaa, Naomba mwenye uzoefu wa kujua eneo la sq metre 400 (20×20) linahitaji nguzo ngapi na waya kiasi gani kwa kujenga fence (uzio)? Asanteni
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari za jioni ndugu zangu, Naomba kuuliza kiwanja chenye ukubwa wa 15x15 kinaweza kutosha nyumba ya vyumba vitatu sebule jiko na choo Kwa wanaojua naombeni msaada mnijulishe wadau maana Kuna...
4 Reactions
42 Replies
6K Views
Wakuu kama lipu imeshafanyika je unaweza kupaka rangi nyumba bila kuweka wall putty? Hii putty ina ulazima gani wakuu?
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Leo nimefanya window shopping kwenye moja ya kiwanda kikubwa cha mabati nimeshangazwa sana kukuta bati zimepanda bei sana! Sijui tunaelekea wapi na nn hatma ya hili. Bati ya gauge 30 leo hi ni...
14 Reactions
154 Replies
19K Views
Kabla hujaingia kwenye kundi la walio wengi wanaolalamika kuhusu ubora wa bati katika kutoboka,kushika kutu, kupauka kwa sababu ya maamuzi yao wenyewe au kupotoshwa na wauzaji wenye tamaa ya pesa...
10 Reactions
22 Replies
10K Views
Je! watanzania wako tayari kupokea mabadiliko ya kutafuta nyumba za kupanga kupitia Webs au Apps zilizosajiliwa kisheria zinazowaondoa madalali ?
1 Reactions
3 Replies
456 Views
Habari wakuu, Tafadhali naomba mwenyevkujua dawa ya kupaka mbao nilizopaulia zisibunguliwe anitajie nikanunue. Naona mbao zilizopaulia zimeanza kuliwa. Asanteni sana
2 Reactions
35 Replies
4K Views
RAIS SAMIA AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI, WAFIKIA ASILIMIA 93 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli...
0 Reactions
1 Replies
473 Views
Wazungu walijenga nyumba za ghorofa kutokana na uhaba wa ardhi kwao. Nimekutana na Wafrika Magharibi pia mawazo yao ni ya kujenga ma ghorofa. Nikipowauliza sababu waliniambia kwao ardhi ni...
35 Reactions
347 Replies
60K Views
Wadau wa ujenzi Naomba kuuliza kama kiwanja chenye ukubwa wa skweamita 112 kama kinafaa kujenga gorofa la floor kwa idadi yoyote? Natanguliza shukrani.
1 Reactions
7 Replies
434 Views
MBUNGE GULAMALI AHIMIZA USHIRIKIANO KATI YA WANANCHI NA JESHI LA POLISI UFUNGUZI WA KITUO CHA POLISI NKINGA, WILAYA YA IGUNGA Tarehe: 28 Februari 2025 📍 Mahali: Nkinga, Wilaya ya Igunga – Mkoa...
1 Reactions
3 Replies
375 Views
Serikali kupitia Wizara ya Afya imewekeza Shilingi Bilioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa jengo la kituo cha tiba mionzi pamoja na ununuzi wa vifaa tiba lililopo katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda...
2 Reactions
6 Replies
383 Views
1.unaweza kuikodisha anytime 2.una weza kuzalisha tofali mwenyewe weekend ukapiga kazi mwenyewe au assume kila usiku wewe ukawa ukazalisha tofali 200 hata kama ni kwa msaada wa kibarua means Kwa...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimeenda dukani kununua wall putty, nimekuta kampuni ya "Billion" na ya "Best Powder" ambazo sijawahi kuzitumia, always huwa natumia White Skim ya Magic Builders ambayo kwa sasa haipo eneo...
0 Reactions
4 Replies
435 Views
Habari wakuu, Kumekua na aina/brand nyingi sana za gypsum boards siku za karibuni. Katika ufuatiliaji wangu, nimekutana na brand zifuatazo: Made in India(bei kubwa Tsh 22000-27000) -Gyproc...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Nahitaji kuchukua mtambo wa umeme wa jua wa kulipia kidogo kidogo. nahitaji mtambo wa taa tano (bila TV) Makampuni ambayo ni machaguo yangu ya mwanzo ni Sunking na Dlight. Niliyogundua wakati...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Hizi ni baadhi ya picha za majengo mbalimbali mitaani kutoka uwanja wa Vita uko ukraine. Kinachoshangaza hata majengo ya serikali (magorofa Hadi nyumba za Kawaida) Nayo hayana beams Wala columns...
4 Reactions
93 Replies
10K Views
Back
Top Bottom