Mount ZionWakuu salaam.
Naomba kujua ni wapi ama chuo kipi kinatoa kozi ya urembo wa gypsum
Kweli, harafu zile structure za kutengezea gypsum nasikia wanatengeza/kuuza pale gerezani.Kama una akili timamu na una idea na ufundi mchawi bando tu hauna haja ya kwenda chuo chochote kupoteza muda na pesa