Kila nikisearch picha za suburbs za Marekani sichoki kuziangalia jinsi zilivyopendeza
Kwanza kuanzia nyasi, unakuta nyumba hazina mageti bali zina nyasi tu mbele
Pili miundombinu, kuanzia...
Wakuu habari za muda huu najua mko njema tunaendelea kupata pumzi ya bure na Mungu atubariki
Kama kawaida kuna wakati mtu unapambana na inafika hatua unatamani uwe na kwako uchomoke kwenye mambo...
Naomba Fundi / Mfanyabiasha mwenye uzoefu wa kutengeneza matofali ya ujenzi pamoja na pavement unipe ushauri wa hiyo biashara, mtaji wa kuanzia, maeneo lengwa pamoja na chagamoto zake Asanteni
📍Rafiki Electrical & Tech Solutions ni solution kwa mahitaji yako ya vifaa bora na vya kisasa vyenye usalama Mkubwa.
Tunauza, kusambaza na kutengeneza Vifaa bora vya umeme wa:
🎯Viwanda
🎯Majumbani...
Je, Umekuwa ukijiuliza wapi utapata vifaa bora vya umeme kwaajili ya mahitaji yako?
💫SASA UMEPATA SULUHISHO KAMILI
Rafiki Electrical & Tech Solutions 💡
ni watengenezaji, wauzaji na wasambazaji wa...
Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga
nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi
naombe ushauri...
Hello JF
NAhitaji aina hizo za bati . Nataka kuezekea nyumba ya hidden roof. Naziona mara nyingi kwenye majengo ya zamani. Naona imara na hayapati kutu.
Anayefahamu nitapata wapi na bei zake pls...
Kuna sehemu Nina plot yangu nataka nitoe kitu kikali chumba sebule jiko choo Sasa kwakua jamii forum ni sehemu ya great thinker naombeni msaada wenu ramani ya kisasa wakuu
Kuna siku ndugu yangu anayeishi uingereza aliniambia, inashangaza sana kwa nchi kama Tanzania ambapo mchanga unapatikana kila mahali halafu bado kuna watu hawachangamki kujenga na kumiliki nyumba...
Tunatoa huduma za ujenzi wa sakafu ya tarazo kwa shule, maghala (godowns), majengo ya biashara na makazi kwa ubora wa hali ya juu.
✅ Tunatumia vifaa bora na wataalamu wenye uzoefu
✅ Ujenzi imara...
Urgent wakuu!, plot inauzwa, SQM 400, imejengwa msingi na kisima kipo. IPO 2km from main road, Kiluvya Madukani maeneo ya kwa mhindi-tondoroni. Ni nzuri sana! Njoo inbox kwa details zaidi. Mil. 8...
Katika mitaa ya Dar es Salaam kulikuwa na jina lililotajwa sana na kusikika masikioni mwa watu, sana sana ukanda wa Tabata — Black Cobra.
Jambazi aliyekuwa anaogopwa. Aliingia kimya, akatoweka...
Kiukweli licha ya kuwa kuna makazi mengi duni Tanzania lakini sikuhizi watu wanajenga nyumba standard na nyumba nzuri
Kwenye miji yetu yenye mazingira ya uswazi utagundua kuwa uswazi huo...
1 master bedroom
1 self room
1 single room
Sitting room
Kitchen
Store
Public toilet,
3 verandah (entrance).
BAJETI yetu ilikua ni 11.2M, Hadi tunamaliza kazi tumetumia 11.4M.
GHARAMA...
EPOXY FLOOR TECHNOLOGY: Kwa Nini Inakuwa Trend Kubwa Kwenye Ujenzi wa Kisasa?
Utangulizi
Kwa kipindi cha hivi karibuni, teknolojia ya Epoxy Floor imekuwa ikizungumzwa sana kwenye sekta ya ujenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.