Nipo Dodoma, nauza mbao kwa bei nafuu

Nipo Dodoma, nauza mbao kwa bei nafuu

MaduhuJ

Senior Member
Joined
Oct 7, 2024
Posts
113
Reaction score
123
Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (12Ft) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana;

2x2 - 2,500
2x3 - 3,700
2x4 - 4,700
2x6 - 7,000
1x4 - 2,500
1x6 - 4,500
1x8 - 7,500
1x10 - 14,000

Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni sana mjipatie mbao kwa bei rahisi. Mawasiliano yangu ni 0746311251.

d16db93e-321a-4b90-8e35-e11dc505f224.jpeg
bb651096-bac7-4f88-90b5-c9654436c0a1.jpeg
IMG_0694.jpeg
IMG_0693.jpeg
IMG_0692.jpeg
IMG_0691.jpeg
2C02FF16-0893-4BFB-8683-71BB242C4185.jpeg

Mkuu natamani niifanye hii kazi ya kuuza mbao mkoani huku wewe uwe supplier wangu, tunaweza kuteta pm? Kama ndio karibu mkuu tuone Cha kufanya
 
Mkuu natamani niifanye hii kazi ya kuuza mbao mkoani huku wewe uwe supplier wangu, tunaweza kuteta pm? Kama ndio karibu mkuu tuone Cha kufanya
Haina shida. Unaweza tu kunitafuta kwenye namba yangu ya simu tukaona cha kufanya. Karibu sana!
 
Wadau, Mzigo mpya umewasili na bei zimeshuka kidogo;

2x2 - 2,400
2x3 - 3,600
2x4 - 4,600
2x6 - 7,000
1x4 - 2,400
1x6 - 4,500
1x8 - 7,500
1x10 - 13,500

Karibuni sana mjipatie mbao kwa bei rahisi. Mawasiliano yangu ni 0746311251.
 
Attachments

  • IMG_0722.mov
    71.5 MB
wadau wa Dodoma karibuni kuna mzigo mpya wa mbao za ujenzi kwa bei rahisi sana. Tuwasiliane kwa namba 0746311251.
IMG_0691.jpeg
d16db93e-321a-4b90-8e35-e11dc505f224.jpeg
 
Wadau wa Dodoma nimeshusha mzigo mwingine wa mbao (12Ft) kwa bei ya punguzo. Ofisi ipo pale shule ya sekondari ya Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana;

2x2 - 2,500
2x3 - 3,400
2x4 - 4,400
2x6 - 6,500
1x4 - 2,500
1x6 - 4,300
1x8 - 7,300
1x10 - 13,000

Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni sana mjipatie mbao kwa bei rahisi. Mawasiliano yangu ni 0746311251.
 
Back
Top Bottom