Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Habarini za muda huu, Nina shida na chumba cha kupanga mbagala chamanzi, kiwe nani ya fensi, kiwe na umeme, maji, gypsum, bei ya uchumi wa kati.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
KITETO KUNUFAIKA NA MRADI WA UJENZI WA BARABARA SABA ZA LAMI Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. Edward Ole Lekaita, akitoa neno kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la Kiteto kwenye Hafla ya Utiaji Saini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kujua makadirio ya gharama za kufanya finishing chumba kimoja Vitu vya kufanya Rough Floor Mlango wa mbao Mlango wa Alminium kwa ajili ya toilet Plaster Skimming Blandering Gypsum board...
3 Reactions
6 Replies
5K Views
Hii inaepusha gharama za maji na ukame
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi nina nyumba Chanika jirani yangu anasema nimeingia kwake upana wa nyumba yangu 45 mt lakini nikipima ni 42 mt bado anasema nimejenga kwake. Je, utaratibu upoje wa kupata watu wa ardhi waje...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
IGUNGA KUFUNGWA TAA ZA KUONGOZA MAGARI BARABARANI Clip/Video Majibu ya Serikali kuhusu kufungwa Taa za kuongoza Magari dhidi ya Watembea kwa Miguu na Vyombo vingine vya moto kwenye Mji wa Igunga...
1 Reactions
3 Replies
890 Views
WANAVIJIJI WAPATA MATUMAINI MAKUBWA YA KUANZA KUTUMIA MAJI YA BOMBA Kata nne (4) zenye jumla ya Vijiji 12, za Jimbo la Musoma Vijijini, zina miradi ya kusambaziwa maji ya bomba kutoka Ziwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MBUNGE MARTHA MARIKI - SERIKALI IUNGE MKONO JUHUDI ZA WANANCHI UJENZI WA KITUO CHA POLISI KATIKA WILAYA YA TANGANYIKA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki katika kipindi...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
MBUNGE BUPE MWAKANG'ATA AITAKA SERIKALI KUTUMIA ZIWA TANGANYIKA KUSAMBAZA MAJI MKOA WA RUKWA "Je, lini Mradi wa Maji Kata za Kaengesa na Sumbawanga Vijijini utakamilika?" - Mhe. Bupe Nelson...
0 Reactions
0 Replies
366 Views
Habari za kutwa nzima ya wale wana jamvi wote nawasalimu kwa jina la Jammhuri ya Muungano. Nimeandika uzi kadhaa kuhusu bati nikiomba ushauri ili niweze kununua kile ambacho kina ubora hasa baada...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwenye ujenzi bhna kuna mambo ukikosea utakuja kujilaumu sana baadae. Hizi mbao mnazoambiwa ni treated ni wizi mtupu, Mbao za pine pia ni laini sana, mafundi wanazipenda sababu ya urahisi wa...
8 Reactions
53 Replies
9K Views
Wakuu nataka kuwa moja kati ya wanaJF wenye nyumba kali. Hii ni idea ya kunipeleka huko. Hii ndio nyumba ya kudumu ya mkuu wenu itakayowekwa kwenye kiwanja cha mita za mraba 2,000. Inatakiwa kuwa...
24 Reactions
159 Replies
10K Views
Habar wapendwa Niko mkoan nilikua naomba ushaur mwez wa Tisa nimepanga kuanza ujenzi wa hiyo nyumba nina 3M. Nitatumia tofali za kuchoma mwanzo mwisho je nitafikia hatua gan Kwa kiasi hicho Cha...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Msaada wa gypsum designs mbali mbali but ziwe simple
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba wataalam wanisaidie gharama ya finishing nyumba kama hii
0 Reactions
8 Replies
3K Views
SHULE KONGWE 84 ZIMEFANYIWA UKARABATI NA SERIKALI HAPA NCHINI Mhe. Masache Kasaka, Mbunge wa Jimbo la Lupa ameuliza swali Wizara ya TAMISEMI kwa niaba ya Mbunge wa Jimbo la Rungwe, Anthony Albert...
1 Reactions
2 Replies
939 Views
NDEJEMBI HAJARIDHISHWA USIMAMIZI WA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA CHEMBA – DODOMA Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Deo J. Ndejembi (Mb)...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
MBUNGE ABUBAKAR ASENGA AMEIOMBA SERIKALI KUONDOA MGOGORO WA ARDHI KILOMBERO Mbunge wa Jimbo la Kilombero (CCM), Mhe. Abubakar Asenga ameiomba Serikali ikamsaidie kupima ardhi ya wananchi ili...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
KIJIJI CHA NYASAUNGU CHADHAMIRIA KUFUNGUA SEKONDARI YAKE JANUARI 2024 Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ametembelea Kijiji cha Nyasaungu, Kata ya Ifulifu kwa lengo la...
0 Reactions
0 Replies
508 Views
Poleni na mapambano wakuu. Twende kwenye mada, nahitaji kujenga chumba kimoja chenye size tajwa hapo juu. Halafu baadae nitajenga chumba/rest room juu yake. Kinaunganishwa toka kwenye nyumba...
3 Reactions
30 Replies
6K Views
Back
Top Bottom