Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jumuiya za Kikanda na Kimataifa za vyama vya Wanasheria zimetoa tamko rasmi la kulaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Wakili Tundu Lissu ambaye ni Rais wa zamani wa Chama cha Wanasheria Tanganyika...
11 Reactions
176 Replies
9K Views
Hii ndio Taarifa mpya niliyopenyezewa kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika, Ni kwamba imepangwa Mabalozi wote wa Jumuiya ya Ulaya wahudhurie Kesi ya Tundu Lissu Mahakamani Bado haijafahamika...
24 Reactions
83 Replies
5K Views
Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu inasikilizwa leo Mei 6, 2025 na itakuwa kwa njia ya mtandao. === UPDATE Link imekatwa na hivyo haitakuwa rahisi kufuatilia
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa TSh20 milioni kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, kwa ajili ya kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji...
15 Reactions
184 Replies
7K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam Inayoketi Kisutu Shauri la Jinai namba 202504102000008606 Jamhuri dhidi ya Tundu Antipace Lissu mbele ya Mhe. Geofrey Mhini, Hakimu Mkazi Mwandamizi...
13 Reactions
94 Replies
11K Views
Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe. Soma pia...
6 Reactions
270 Replies
12K Views
Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, Jumanne Mei 06.2025 kesi mbili (2) zinazomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
Tumewahi kuona clip za video zilizovuja wazungu wakiwa kwenye mikutano yao wakipanga namna Afrika inatakiwa kuwa eneo la vurugu mapigano na maafa kusudi wenyeji wabakie masikini. Kwamba Maliasili...
0 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakuu, TLS, LHRC msituambie hamkutegemea haya kutokea ili mkajipanga na plan B, C, D hata Z ikiwezekana? Yaani mlitegemea serikali itakaa tu kimya ili mambo yaende vizuri na taarifa zipatikane...
0 Reactions
4 Replies
433 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, amesema kukamilika kwa miradi mikubwa ya kimkakati nchini, ikiwemo Reli ya...
0 Reactions
6 Replies
508 Views
Huyu Jamaa Ni mtu hatari Sana kwenye siasa za upinzani,ukifatilia historia yake ya usaliti,kuvujisha texts,misimamo yake, utagundua kua anakula meza moja na watesi.. katika maandamano yake ya Jana...
8 Reactions
51 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amelipongeza Jeshi la Polisi kwa juhudi zake katika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya matukio mbalimbali ya kihalifu, ikiwemo tukio la...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakina mgogoro na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kumwomba Waziri Mkuu Mstaafu...
2 Reactions
66 Replies
5K Views
Mkienda katika uchaguzi kila chama kinapigania nafasi yake, wapinzani tunapaswa kuungana"-Ado Shaibu - Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
1 Reactions
5 Replies
667 Views
Rais Samia Suluhu amesema Mwaka huu ni mwaka wa jambo kubwa, nchi yetu inakwenda kwenye uchagazi mkuu niwaombe mtumie kalamu zenu kuhamasisha umoja, amani na mshikamano nchini. Ameyasema hayo leo...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Ndugu Watanzania, nianze kwa kuwasalimia kwa salamu ya chama changu pendwa Chama cha Mapinduzi (CCM). Kidumu Chama cha Mapinduzi ..........................! Awali ya yote nitaomba radhi kwa kila...
1 Reactions
4 Replies
512 Views
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amewataja watu wanaodai haki kuacha kuwa sababu ya ukosefu wa haki kwa wengine. Dkt. Ndumbaro alisema hayo mjini Morogoro wakati akifungua mafunzo...
0 Reactions
5 Replies
514 Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kufanya vizuri zaidi ya baadhi ya Viongozi wa kiume...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi amewataka Viongozi wa vyama vya kisiasa kutumia mafunzo ambayo Ofisi yake imewafunda kwa ajili ya kujenga mtazamo mpya na chanya, ambapo muktadha...
1 Reactions
11 Replies
671 Views
Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) tunalaani vikali utamaduni mbaya ulioanza kujengeka nchini kwetu miaka ya hivi karibuni ambapo vyombo vya umma vya kusimnamia haki na na kulinda usalama wa raia...
2 Reactions
7 Replies
795 Views
Back
Top Bottom