Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii ndio hali huko Mwanza vijana wakiandamana kwa amani barabarani, wengine wakitoa dukuduku zao mbele ya Jeshi la Wananchi (JWTz)
12 Reactions
151 Replies
6K Views
Utekaji, Mauaji ya kupoteza watu, unyanyasaji, wizi wa kura wa waziwazi, matusi, kejeli za viongozi, ubabe wa viongozi na vyombo vya dola ndio kichocheo kikubwa cha maandamano ya siku ya uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Sheikh Nurdin Kishk anasema "Vijana mkadai haki yenu kwa amani bila fujo yoyote"
4 Reactions
18 Replies
597 Views
Vipi sherehe za uhuru wa tanganyika zimefanyika ipasavyo na watu kweli wamekumbuka mashujaa waliopigania hili Taifa hadi kuwa huru? Na kama hazijafanyika, vipi mmepewa maelekezo ya kutosha bajeti...
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Tanzania vs Tanganyika. Sielewi ukakasi uko wapi, bora hata ya Madelu yeye alisema Tanzania bara.
2 Reactions
5 Replies
229 Views
Mwanzo akisema Kuna watu walikua nyuma ya hili na Kuna ndani ya waandamoji walipewa hela mwanzo sikumwamini but now naanza kumwelewa kidogo kidogo and I believe atakujalisema Believe me
3 Reactions
33 Replies
977 Views
Jeshi la Polisi limesema kuna picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza, huku likisema hakuna jambo kama hilo...
1 Reactions
35 Replies
777 Views
Tatizo la CCM na Samia ni kiburi tu. Familia 99% nchi 1%. Je hii ina maana gani kama nchi 1. Mzunguko wa Pesa umepungua na utapungua kwasababu uwekezaji umepungua, watalii wamepungua na...
0 Reactions
0 Replies
187 Views
Kulingana na Taarifa ya Wakala wa Ufundi na Umemem Tanzania TAMESA imetaarifu Umma kuwa Kivuko cha MV Kazi kinachotoa huduma katika eneo la feri kimesimama kutoa huduma zake kuanzia leo December...
1 Reactions
7 Replies
365 Views
Jifanyeni mnafanya mikakati yenu kwa Siri kwakuwa mnajua kuwa Wahusika labda wamejiandaa tu kwa nyakati hizi za Asubuhi hadi Jioni hivyo kudhani kuwa Wao hawana Akili basi ikifika hiyo Usiku ndiyo...
5 Reactions
35 Replies
587 Views
Nimesikiliza mijadala ya Waandaji wa maandamanonya Gen Z katika Tiktok na X wanagombana sana wanalaumiana kwa kuleta ujuaji na Usaliti ndiyo maana maandamano leo yamedoda kuna master Plan...
1 Reactions
8 Replies
445 Views
Ila Dar ni mji wa maigizo sana, imagine leo hakuna vichaa wala ombaomba walioonekana barabarani
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Alhamdulilah, Tumsifu Yesu, siku ya leo mitaa imetulia Leo tunaweza kuiita ni siku ambayo tumekaa ndani tu kupumzika, huko nje kumetulia. Lakini katika yote haya hatuwezi kusahau kuna maandamano...
1 Reactions
27 Replies
760 Views
Wakuu, Yaani kila mtakachofanya bado wananchi wananchi wanashinda. Ushahidi unazidi kukaa vizuri kule ICC, bwana Girisho Gerson Msigwa unazidi kuvuliwa nguo, guys ndio kabisa anaandaa skripti ya...
1 Reactions
7 Replies
275 Views
Mkiwazuia watu kugoma barabarani watagomea biashara na uchumi. Sasa wataanza kugomea biashara kwa mfano walivyogoma kuunga mkono wasanii wataanza kugomea biashara na mambo ya serikali ambayo ni ya...
4 Reactions
5 Replies
264 Views
Nauliiza hivi kwasababu naamini: 1. CHADEMA watakataa kushiriki 2. ACT nao hawatakubali kushiriki 3. CUF hawatakubali kushiriki 4.TEC hawatakubali kupeleka mwakilishi/wawakilishi 5. Kanisa la...
0 Reactions
3 Replies
218 Views
Habari wakuu, Leo ni mwaka wa 53 tangu upatikane uhuru wa Tanzania bara(Tanganyika) kutoka kwa muingereza, kama ilivyo ada ya miaka mingi, 9 Desemba huwa kuna sherehe za kuadhimisha siku hii na...
1 Reactions
395 Replies
42K Views
MIAKA 53 YA UHURU, NI UHURU KWA NCHI GANI? Leo 9 Dec 2014 Ni mwaka wa 53 tangu ile nchi iliyofahamika zamani kama Jamhuri ya watu wa Tanganyika ijipatie uhuru wake mnamo 9 Dec 1961. Hakuna siri...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Tanzaniza ni muungano wa nchi mbili,kuna Zanzibar na Tanganyika na wote tulipata uhuru nyakati tofauti.Inanichanganya nikisikia watu wanasema miaka 49 ya uhuru wa Tanzania. Msaada wenu...
6 Reactions
437 Replies
44K Views
Nililiona bandiko la Yericko Nyerere na nikatazama michango ya member wengi wa Jf.Nilichojifunza ni kuwa wengi wamepotosha waraka huo wa Maaskofu,na pengine kwa aina ya #Pseudophilosopher kama...
64 Reactions
303 Replies
37K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…