Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nadhani hali ni tete, leo MwanaFA amepost wimbo wa Juma Nature ft Prof Jay. Huu wimbo ni wa zamani lakini wameuboresha kidogo ili kwenda sawa na siasa za sasa. Ikumbukwe wimbo huu ulikuja baada ya...
2 Reactions
8 Replies
421 Views
Ndugu zangu Watanzania, Jeshi letu la Polisi limesema ya Kuwa Limeimarisha na linaimarisha zaidi ulinzi na Usalama Usiku huu. Ambapo Doria kali zitapigwa usiku kucha kuhakikisha amani na utulivu...
3 Reactions
7 Replies
295 Views
Ndugu zangu Watanzania, Imeeleweka ni kwanini maadui zetu huviogopa sana vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania, imeeleweka vizuri ni kwanini Askari wa kitanzania hupata tuzo na nishani...
1 Reactions
25 Replies
678 Views
Haya mambo yakiendelea angalau mara tano ,sita , nawakikishieni hata vyombo vya usalama vitachoka kumlinda. Leo watu wameandaa maandamano hewa jamaa wamejaa kwenye mfumo , wamepoteza pesa kizembe...
0 Reactions
6 Replies
333 Views
Sisi bado tupo tu, wakifungua nchi sisi hao barabarani sisi hatujaondoka wala haibadilishi chochote lazima sababu kuu za maandamano zitatuliwe kwanza. Waambieni sisi tupo sana
3 Reactions
35 Replies
514 Views
Sio kwamba wana CCM wote wanaipenda CCM, sio kwamba vijana walioko CCM wanajivunia chama chao, na wala usidhani hawaumii kuona kila aina ya uovu wa nchi hii unahusishwa na CCM. Ni binadamu...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Habari za muda huu watanzania wa mama Samia. Kwanza Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru mungu kwa Hali ya Leo kua ya utulivu na amani. Pili napenda kuwapa pongezi mabondia kwa kuzuia...
1 Reactions
3 Replies
190 Views
GT Hii ni hatari kwa ustawi wa nchi Nadhani sasa hawa wawekezaji wanaohonga CCM wameisoma namba. Shughuli zote za kiuchumi zimesimama huku wakipata hasara ya billions of money maana wafanyakazi...
15 Reactions
58 Replies
1K Views
Kitendo cha serikali kutumia nguvu kubwa kuminya uhuru wa watu kuandamana na badala yake watu wametii na kuamua kukaa ndani, hapo kiuhalisi walioshinda ni wale walioamua kukaa kimya . Ni sawa...
4 Reactions
17 Replies
406 Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza amesema “Kama tusivyotaka mataifa mengine kutuamulia mambo yetu, ndivyo tusivyopenda...
0 Reactions
0 Replies
256 Views
Nipo na Wanangu 17 na tunatoka wote, wewe je? Naomba kesho tutoke kwa wingi sana, tutokeni kwa wingi sana ndugu zangu Maandamano ni haki yetu kikatiba Kama nilivyotoka tarehe 29 kesho nitatoka!!
35 Reactions
120 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa mara nyingine Tena Tanzania na watanzania wamekataa na kugoma kabisa kuiangamiza Tanzania ,wamekataa kuchoma moto Taifa,wamekataa kuvuruga amani ya Taifa...
11 Reactions
116 Replies
3K Views
Suala la sensa katika nchi yoyote ile ni muhimu sana. Sensa hutoa picha halisi ya idadi ya watu katika nyumba katika nchi nzima. Sensa pia hutoa taarifa rasmi ambazo zitasaidia serikali kupanga...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Anaendeleaje na report zake za visasi? isije ikawa yeye ndie kafanywa jambo maana yuko kimya na ni muda sasa;
1 Reactions
1 Replies
194 Views
=== Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa alisema Tanzania iko mikononi mwa Mungu na ndiyo maana imeendelea kuwa nchi yenye amani na utulivu na kimbilio la mataifa yaliyopoteza...
4 Reactions
6 Replies
387 Views
Kesho ndiyo kutakuwa na mtiti wa ukweli maana wale wote wanaozarauliwa na serikali ndiyo watakaokuwa barabarani halafu hawana cha kupoteza ngoja tuone
2 Reactions
1 Replies
200 Views
Hii ndio hali huko Mwanza vijana wakiandamana kwa amani barabarani, wengine wakitoa dukuduku zao mbele ya Jeshi la Wananchi (JWTz)
12 Reactions
151 Replies
6K Views
Utekaji, Mauaji ya kupoteza watu, unyanyasaji, wizi wa kura wa waziwazi, matusi, kejeli za viongozi, ubabe wa viongozi na vyombo vya dola ndio kichocheo kikubwa cha maandamano ya siku ya uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Sheikh Nurdin Kishk anasema "Vijana mkadai haki yenu kwa amani bila fujo yoyote"
4 Reactions
18 Replies
597 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…