Ni mjinga pekee ata zani skauti wa Jw wako upande wa wananchi. wote tume jionea wao ndo wame weka Road block kuzuia watu wasipite una wezaje kusema ni wa wananchi
Polisi, TISS na JW wote ni...
Kuna watu wanatoa maneno ya kejeli kuhusiana na ukimya uliotawala nchi nzima siku ya leo 09/12/2025.
Watu wasichojua ni gharama kubwa ambazo serikali na vyombo vyake imeingia siku ya leo...
Mtangazaji wa Clouds TV, Paul James maarufu PJ amesema, "Asubuhi wakati nakuja kwenye kipindi nilikutana na askari kwenye daraja linalotenganisha mkoa wa Pwani na Dar es Salaam. Wapo askari...
Juzi bibi wa Kizanzibari baada ya kuonana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini alitoa press ya Ikulu kujaribu kuwatongoza Marekani kuwa atawapa madini ili wamkalie kimya kuhusu mauaji aliyofanya kwa...
Jeshi la Polisi nchini Tanzania kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama nchini wamewahakikishia wananchi kuwa wataendelea kulinda usalama wa Tanzania sambamba na maisha na mali za...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza Halmashauri zote Nchini Majiji kutochukuwa bidhaa halali za Wananchi ambao ni wafanyabiashara wadogo wanaojitafutia riziki zao Barabarani kulingana na...
Jeshi la Polisi nchini limesema linaendelea kulinda usalama wa raia na mali zao, ili kuhakikisha wanaendelea na shughuli zao kama kawaida, huku likionya kama kuna ambaye atajitokeza na kukaidi...
Wananchi wamejitokeza kwenda kwenye majukumu yao ya kila siku leo 10 December 2025. Kutokea mitaa ya Tandale mpaka soko la Kariakoo shughuli zinarejea taratibu.
Idadi ya watu sio kubwa sana kama...
Leo, Jumatano Desemba 10.2025 kesi Na. 30210/2025 iliyofunguliwa na Mwanaharakati Rosemary Mwakitwange na wenzake wawili (2) ambao ni Mawakili Deogratias Mahinyila na Edward Heche dhidi ya...
Ukweli halisi wa kilichotokea Oktoba 19 umezimwa.
Watu hawana mida tena wa kutafuta kilichojiri, badala yake wanafikiria kufanya maamdamano mengine bila tathmini ya kikichotokea.
Kumbuka...
Hivi nyie Wanaharakati wawili tishio adriz ukiwa Marekani na Wewe Lucha ukiwa hapo Nairobi Kenya si ndiyo nyie kutwa mlikuwa mkiposti na kututia Moyo na kutupa Morali Watanzania kuwa leo Siku hii...
INTRODUCTION : Huyo Mange angekuwa anawapenda na ana nia njema na Vijana wa Tanzania angewatafutia fursa za kazi na Elimu USA.
Mashujaa uchwara kila walipolala walitoa treni za kisasa...
Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 umepita, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ilikamilisha kazi yake kwa kutangaza washindi wa Ubunge, Udiwani na Urais.
Upande wa maeneo mbalimbali ya Jiji la Mbeya...
Mh Joel Nanauka , Hongera unafanya Kazi nzuri Sana .
kumekuwepo na mipango mingi Sana , Ila pamoja na yote lipo kundi la Vijana
Ambao wameishia darasa la saba na Form four failure .
kundi hili...
Nimejaribu kufuatilia panel mbali mbali za usahihishaji wa mitihani ya kidato cha nne na chapili ambapo nilianza kuhudhuria kama miaka kumi iliopita kama external niliouagundua huko ni mengi...
Niwakumbushe tu serikali ina mkono mrefu, kiko wapi Mange Kimambi anaogopa kupost huko X, ameshapewa onyo kuwa akileta zake account yake X pia wanapita nayo.
Wananchi leo hawajasherekea uhuru kwasababu ya tamaa za mtu mmoja tu na wanauwana kwa risasi na kutekana kwasababu ya mtu mmoja kweli shetani kazini.
Haya yote yameletwa na tamaa za madaraka za Samia
Moja ya falsafa kali za kutoka kiuchumi ni kua capitalist mzuri, kwa mfano nchi yetu ni changa sana hivo opportunity ni nyingi sana, Yaani kila sehem ukigusa kuna hela lakini sio kiurahisi ivo...