Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali haramu imesha anguka na kushindwa kuifanya nchi ya kipumbavu wanang'ang'ania madaraka wanajua washaharibu nchi wakitoka wataburuzwa. Wakitoka wote wahusika wakuu ikiwemo wakuu wa majeshi...
1 Reactions
1 Replies
196 Views
Sina mengi ya kusema, Nakumbushia mwangalie siku Hawa watawala wetu wanakabidhiwa vyeti vya ushindi, Dr nchimbi kile cheti alikitupilia mbali na Ikabidi na Dr Samia aige. Je WAJUA Nini kilijili...
1 Reactions
16 Replies
641 Views
Majirani wanatamani kuiona Tanzania ikiwa kwenye machafuko kama somalia au congo, na hii itatokana na viongozi wajinga. Kiongozi mjinga anauwa watu na kuteka watu, hii itapelekea vita vya sisi...
0 Reactions
12 Replies
265 Views
Tanzania lmekuwa zaidi ya somalia na al shabab hebu fikiria watu wanateka hadi maiti hospital sijawai kuona ugaidi kama huu hapo kwanza. Mimi sijawai kuona kikundi cha kigaidi kikiteka maiti...
1 Reactions
3 Replies
276 Views
Ukikipata kitu kwa haki basi nafsi yako hufurahi na kukupa maisha marefu na Ukikipata kitu kwa dhuruma nafsi yako hukusuta mpaka mauti Muangalie Magufuli alivyokuwa anacheka na watu kutoka moyoni...
1 Reactions
2 Replies
197 Views
Kitendo cha serikali haramu kuweka watu lockdown D9 wasijielezee kumechafua zaidi taswira ya nchi, huwezi kupewa misaada kila kitu anchofanya ni zero brain kabisa anazima moto kwa patrol lazima...
0 Reactions
4 Replies
188 Views
Kuna maneno aliyachapisha January Makamba kuelekea uchaguzi wa kumpata mgombea Urais wa chama chake CCM kwa mwaka 2015 yamenitafakarisha Sana. Hivi haya maneno ya Makamba yalikuwa yamelilenga...
4 Reactions
20 Replies
798 Views
Slovakia Yafungua Ubalozi Tanzania Balozi Mteule wa kwanza wa Slovakia nchini Tanzania, Mhe. Ivan Lančarič amewasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na...
2 Reactions
9 Replies
320 Views
Najitahidi nisiandike chochote ila naona nakua na fundo moyoni. Nilidhamiria kutoka Oct 29 hata nikiwa pekeyangu, bahati nzuri nilikutana na wengine. Jana nilitoka na bahati mbaya hakukua na...
9 Reactions
10 Replies
301 Views
Tukiweka unafiki pembeni hii kesi itageuka kilio Cha kusaga meno Kwa Samia na CCM wenzake, maana within 6 months from today lazima ICC watafungua rasmi kesi. Ukiangalia Jean Pierre Bemba...
8 Reactions
59 Replies
1K Views
Anaandika tajiri Mohammed Dewji kupitia ukurasa wake wa (X). Nchi nyingi — kuanzia Australia hadi Denmark — sasa zinaweka mipaka ya matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto walio chini ya miaka...
0 Reactions
5 Replies
331 Views
Yaliyotokea hii miaka ya karibuni, na hitimisho la October 29, ni uharibifu mkubwa wa Taifa, na uharibifu huu mkubwa umefanywa na watawala kwa kushirikisha vyombo vya ulinzi na usalama. Miaka ya...
0 Reactions
1 Replies
167 Views
*Habari wana great thinker; Mimi kwa mtazamo wangu Watanzania kinachotusumbua ni wivu wa kijinga dhidi ya viongozi na familia zao.Mathalani;watu wanamchukia samia na kumtaka atoke kwa sababu...
3 Reactions
108 Replies
2K Views
Kilichosababisha hadi nikawachenjieni na leo mnashangaa imekuwaje 'Mkosoaji Mwerevu' leo naunga Mkono ni kitendo chenu cha kuwasilikiza Wajinga na Wapumbavu wawili wasiojua Strategies za kuandaa...
9 Reactions
37 Replies
915 Views
2 Reactions
6 Replies
223 Views
1. Watumishi wadai Hela ya Likizo Zao tangu 2024. Ujio wa Mhe Waziri Mkuu,watumishi waliambiwa wapeleke Vendor form na Bank statement tayali kwa kulipwa Kama hawakulipwa kihalali na Serikali...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
https://x.com/moodewji/status/1998734094558179556?s=20
2 Reactions
5 Replies
197 Views
Naomba kueleweshwa
6 Reactions
17 Replies
604 Views
Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi...
0 Reactions
369 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…