Kwenye maktaba ya picha zinazohusu siasa za nchi yetu nimeipata picha hii... Naomba tuitafakari kwa pamoja.
Hii picha Ina wanachama wa CHADEMA na CCM ambao wote Kwa wakati huo walikuwa ni...
Naelewa hasira, uchungu na hisia nyingine zilizoletwa na kile kilichotokea hasa baada Oktoba 29, lakini nadhani pamoja na yote hayo tuwaze tena ndugu zangu.
Namtolea mdogo wangu Nay mfano kwa...
Hakuna blabla wakitaka hawa nyau tuwasamehe kutoka moyoni waje tushiriki nao kwenye maandamano tena wabebeshwe na mabango bila hivyo waende wakale walikopeleke mboga
KIKAO NA VIONGOZI NA WATENDAJI WA SEKRETARIETI YA MAADILI KWA VIONGOZI WA UMMA
Mgeni Rasmi:
Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
📍Ofisi za Tume ya Maadili...
Wakazi wa Dar es Salaam wametoa wito wa kuzingatiwa na kudumishwa kwa amani nchini, wakisema ndio msingi wa ustawi wa maisha ya watu.
Wamesisitiza matishio ya vurugu yanavyoathiri shughuli za...
Kuna nguvu inayotumika kwa gharama na kodi zetu kwa so called wahuni; ingawa nadhani huenda wahuni halisi wala hatuwagusi, nadhani busara ni kusikiliza hawa so called wahuni hoja zao kama zina...
Nilikuwa najiuliza tu huu ufisadi wa kununua Rolls Royce na Mercedes Benz G Wagon kwa vigogo wetu nchini pamoja na hizi Rasimali za nchi tulizonacho zinavyotumika ndiyo sivyo.
Kwanini ulinzi wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Hotuba iliyotolewa na Rais Samia kwa Taifa kupitia wazee wa Dar es salaam ndio Iliyolituliza Taifa na kuzima kabisa habari za maandamano yaliyokuwa yamepangwa na...
Tunajua wanafanya yote haya kumkomoa na pengine wakitarajia Lissu atawapugia magoti kitu ambacho hakipo.
Kwa akili zao, chanzo cha maandamano ya Oktoba 29 ni CHADEMA hivyo wameongeza chuki kwa...
Moja kwa moja kwenye mada.
Najua viongozi wa jwtz wako humu.
Jwtz wenyewe (askari wenyewe) wako humu.
Nawapongeza sana kwa kutuliza hali ya nchi. Ni wazi, bila jwtz kuwa deployed mitaani kwa...
Salaam!
Ni kweli mlikuwa kifungoni bila hatia, bila uhuru, sasa MWOKOZI ameshakuja, kabomoa gereza, kafungua milango, kawafungua pingu, sasa imebaki kazi kwenu kutoka gerezani,
Ni kweli Giza...
Leo X nimekutana na hii list ya most powerful people on earth nimekuta Samia yupo nafasi ya nne.
Mnaionaje hii list?
Japo aliyepost kaweka na profile picture ya Samia, inaonekana ni mwanaCCM...
Kiongozi leo muda wa saa 11 Usiku polisi wamevamia nyumbani kwangu Baada ya kunikosa wamepiga watoto na kukamata Familia yangu yote,
Waliokamatwa
kelin Benedicitor Jafety mwanafunzi wa kidato...
Mauaji ya Mwaka huu October 2025 yamefikia zaidi ya 6,900 yamethibitika kwa Samia kupewa idadi hii na mtu ambaye amekuwa anawasiliana naye moia kwa moja tarehe 29 kwamba wauwawe ni shoot to kill...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezungumza na Global TV na kuelezea hali ya ulinzi na usalama ilivyo jijini Dar es Salaam, amesema "Hatukusema Wananchi wakae ndani"
Poleni na uchovu wa lockdown japo ya siku moja lakini sio utamaduni wetu so inatukera.
Mo 29 ilifanikiwa kwa ukubwa kwa sababu kuu kadhaa
Moja ilikuwa siku ya tukio la kitaifa lisilotaka watu...
Mleteni Rais wetu mbele ya camera hata Kama tunamchukia, hatoshi, mwizi wa chaguzi, ametuulia ndugu zetu lakini ki protocol bado anakuwa Rais wetu hata Kama Ni haramu
Je Yuko wapi?
Anafanya...
Hio itakuwa Siku ya Christmas, wakiristo watahitaji kutoka kusherehekea.
Hakuna namna ya kuzuia mikusanyiko siku hio, na kama wakizuia na ndio lengo letu., Sio tu machawa yataguswa hata...